


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HII NI BENKI YA KWELI, LAZIMA TUKUBALI WADAU
ReplyDeleteBenki ya inakuwa ya ukweli kwa kutoa huduma bora na nafuu kwa wateja wake. Na kamwe sio kujihusisha na huduma za jamii ambazo zilitakiwa kufanya na serikali.
ReplyDeletemimi ni mkazi wa hapa msoma nimefarijika sana kuona benki ya nmb imetupa msaada wa madawati kwa shule zetu za msingi na kikubwa zaidi benki hii imefanya jambo jema sana kukabidhi madawati na si fedha taslim. naendelea kusisitiza muenderee kutoa misaada ya kutokana na maombi na si fedha taslim. asanteni sana nmb kwa kutujari
ReplyDeletenmb safi sana mnajitahidi kwa kusaidia maeneo mbalimbali, faida mnapata lakini tunaona japo asilimia flani inarudi kwa jamii...inapendeza
ReplyDeletejitihada mnazofanya nmb ni kubwa na zinaonekana- endelezeni libeneke la misaada kwa jamii
ReplyDeletesafiiiiiiiii
ReplyDeleteSumuni unatuswasha. Mimi pia niko hapa hapa "msoma" hatuonani...
ReplyDeleteJamani kifua nimependa
ReplyDeleteFor a better view ulitakiwa uwepo Mwanza maeneo ya Miti Mirefu in the eighties and ninties...
ReplyDeletemnastahili hongera sana nmb kwa misaada kwa jamii kiukweli mnajitahidi sana, kila kona mpo!!
ReplyDeletegreat...
ReplyDelete