Ile party ya Boat ndiyo imeshakaribia Jumamosi hii tarehe 13 kuamkia Valentine day watu wote wote wa Europe mnakaribishwa kuja kutembea Rotterdam na vitongoji vyake kwa masaa 7 yaani kuanzia saa sita usiku mpaka saa moja asubuhi huku ukila raha zote kwa disco nililoenda shule la Dj Paulin kutoka Belgium na Dj Kassy kutoka Holland na mambo mengi mengineo usikose kuja kula raha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...