MOTO MKUBWA UMEZUKA KATIKA GHOROFA ZA CHINI ZA JENGO LA SOPHIA HOUSE LILILOKO USONI PA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR ASUBUHI HII. HIVI SASA JUHUDI ZA KUUZIMA ZINAFANYWA NA VIKOSI VYA ZIMAMOTO. TIMU YA GLOBU YA JAMII IKO ENEO LA TUKIO.
HABARI NA TASWIRA BAADAYE KIDOGO..
du! eeh Mola nusuru mabaya yote, nawatakia kazi njema wazima moto
ReplyDeleteUncle mbona mimi nimepita pale mjini sijaona chochote katika jengo lile? shughuli zinaendelea kama kawaida?
ReplyDelete