Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda (kushoto) akisalimiana na baadhi ya kundi la walimu kutoka wilayani Mbozi jana mjini Dodoma ambao walitembelea Ofisi za Bunge kwa ajili ya kujifunza uendeshaji wa vikao vya Bunge la Tanzania. Katikati ni Kaimu Ofisa Elimu wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Vwawa wilayani Mbozi jana mjini Dodoma Beatha Fidelis , kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya Hilda Ngoye na nyuma ya Waziri Mkuu ni Mbunge wa Jimbo la Mbozi Mashariki (CCM) Godfrey Zambi .

du mbona mikono mingi kwa wakati mmoja? we love you mzee pinda, can u be the nxt president please
ReplyDelete