Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo leo jana nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma na Waziri Mkuu Mstaafu na ambaye ni Mbunge wa Monduli Mh. Edward Lowassa . Wote wawili wako Dodoma kwa ajili ya kuhudhuri shughuli za Bunge zinazoendelea.
MBUNGE wa Bariadi Mashariki mkoani Shinyanga,(UDP) John Cheyo (kulia) akizungumza na Mwakilishi wa Umoja wa Ulaya nchini Balozi Tim Clarke (kushoto) na Balozi wa Ufaranza hapa nchini Jacques Champagne de Labriolle( katikati) leo nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu katika kikao cha 12 cha mkutano wa 18 unaoendelea kumalizika

Mbunge wa Jimbo la Karatu (CHADEMA) Dkt Wilboard Slaa akizungumza nje ya Ukumbi wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini(CCM) Omar Kwaangw' juzi jioni mara baad ya kikao cha 11 cha mkutano wa 18 unaoendelea mjini Dodoma kumalizika.Picha na mdau Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. naipenda sana Bongo kumbe hawa washikaji picha ya kwanza juu hawana ugomvi wako poa nimefurahi na nimeipenda sana hiyo picha

    ReplyDelete
  2. naipenda sana Bongo kumbe hawa washikaji picha ya kwanza juu hawana ugomvi wako poa nimefurahi na nimeipenda sana hiyo picha

    ReplyDelete
  3. Mzee Cheyo kwa michapo ko-kwamba anajua kila kitu....WE ALL LOVE YOU MZEE!!!

    ReplyDelete
  4. PINDA: HIVI MBONA SIKU HIZI UMEKUWA KIMYA SANA EDWARD. USIKAE KIMYA HIVO. BADO TUNAHITAJI MSAADA NA MAONI YAKO KATIKA SERIKALI.

    LOWASSA: MHHH NAOGOPA SANA KWANI KUNA WASIONITAKIA MEMA. WACHA NIENDELEZE LIBENEKE KWA WAPIGA KURA WANGU KULE MONDULI.

    ReplyDelete
  5. Slaa namkubali kila mkutano wa bunge yuko makini sana ukiangalia kila mara picha zake akiwa bungeni yuko na makarabrasha tu kuonyesha kuwa yuko makini na yuko kwa maslai ya wanainchi zaidi na maendeleo ya nchi yake i like mzee

    ReplyDelete
  6. michuzi acha ubaguzi kila siku picha za wabunge hao hao tuwekee wabunge wengine tuwaone,

    ReplyDelete
  7. Dont look at them laughing to you, deep in their hearts they dont mean it. They still believe and treat you as a fool! believe me.

    ReplyDelete
  8. LOWASSA nakuaminia mtu wangu, sema zengwe lilikujia vibaya lakini kama sivyo ungekuwa umetufikisha mbali sana kwa ile kasi yako. Lakini usijali you still have another chance for this Country, usikatishwe tamaa na maneno ya watu kama yangekuwa na maana mpaka leo si yangeshajenga university?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...