Hizi chini ni Link za sinema iliyotengenezewa Tanzania na kijana wa ki-Singapore ambazo zinaonyeshwa katika film festival mbali mbali. dhumuni ni kuwapa changamoto watengeneza film za kibongo wachangamke wasikimbilie fedha za haraka kabla ya kuonyesha kazi zao sehemu mbali mbali kwa nia ya kuijitangaza na kulitangaza jina la film za kibongo nje na ndani ya nchi. kwa kuonyesha kazi zao katika Film festival ndivyo watakavyoweza kujitangaza na kupata msaada wa kiufundi na kifedha katika kufanya kazi zao.

http://memoriesofaburningtree.blogspot.com/

http://www.filmfestivalrotterdam.com/en/films/kumbukumbu-za-mti-uunguao/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...