Gujarat is one of the state having very less number of Foreign Students( Tanzanian Students in particular) with no any Student Association, living in such situation is risk and hard to claim in case of any right violation individually.
As a Tanzanian Student in Gujarat I propose to recognize each other as the beginning step towards having our own association.
So, If your Tanzanian living in Gujarat please respond to the below E-mail by introducing yourself, so that we can link each other.
Your cooperation is highly appreciated.
E-Mail Address: tzgujarat@gmail.com
Ujumbe ni mzuri sana na wa maana, lakini lugha ni mbovu sana na ya kushangaza! Kinachoshangaza ni kwamba ujumbe huu umelengwa kwa WATANZANIA...sasa kwanini hukutumia kiswahili wewe? Kha!!
ReplyDeletembona watanzania tumetapakaa huku india sehemu mbali mbali katika vyuo sasa sijui sisi wengine tutakuwa na vyamavya watu wawili??
ReplyDeleteTumia lugha ya mama tafadhali du! ilitakiwa uweke Tangazo: Kwa wale watanzania waishio Gujarati na sehemu zinginezo za jirani na india kwa ujumla: tunawaomba tuwasiliana kama huko kwenye chama chochote, au uko kwenye chama pasi tupeane habari ili nasi tujiunge au kuanzisha chama kama hakipo.
ReplyDeleteasanteni
basi hapo watu watakuelewa, sasa wewe unaweka-kiinglishi, very less number (very small number), so if your tanzanian (so, if you are a tanzanian) nk.
Ni hayo tu.
Mpenda Kiswahili
silioni kosa lake kwa kuandika kiingereza kwani maelezo yake yanaonyesha anasoma na pia ni vizuri kufanya practise ya kuandika kiingereza mnavyomkosoa ndio na yeye anapozidi kujifunza na kuyarekebisha makosa yake lkn mnaosema english yake ni mbovu sana mimi nawakatalia sana english yake sio mbovu sana na wala kwenye ubovu pia haijafikia na imezidi kwenye ok...STOP HATIN AND BE NEGATIVE KTK KILA JAMBO HIZO KWANGU MIMI NI DALILI ZA U-LOOSER TU PERIOD...KAZA BUTI MWANA MSG DELIVERED....
ReplyDeleteWhat a lame! mwanafunzi wa chuo kikuu bado lina sema tumia lugha ya mama!!??
ReplyDeleteKuna vijana wawili pale NIT surati
ReplyDeleteHivi ninyi wabongo mnatafuta nini huko Gujarati!Nyumbani kwenu kuna vyuo vyenye hadhi kuliko huko Gujarati! Of all the place Gujarati!INDIA! punda barabarani,mavia ya ngombe humo humo,kinyesi kwenye rambo!Hao wahidni wa Gujarati ni watumwa kwao kubeba kinyesi kwa wenzao Delhi...! It is not a place to learn any thing!
ReplyDelete