Just wishing a Happy to my Daughter Zuleikha and a success living,
It’s me your mom
Salome Salewa



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hongera ya kuzaliwa mtoto mzuri zuleikha..mungu akupe umri mrefu na afya njema...nawatakia wazazi wako pia kila heri...

    ReplyDelete
  2. TvzkicartoonFebruary 07, 2010

    Happy Birthday Baby Zuleikha, Mwenyeezi Mungu akukuze kwa salama na amani, uje uwafae wazazi wako na akina siye wa wenzako. Amin.

    ReplyDelete
  3. baby zulekha iko siku unaweza kuwa kiongozi, michuzi mfuatilie sana huyu mtoto

    ReplyDelete
  4. Katoto kazuri mwayego, mtoto jicho hilo, aliyesema katakuwa kakiongozi ni kweli kabisa, hongera Salome kwa mtoto huyu...

    ReplyDelete
  5. happy birthday Zuleikha, Mwee kiingerdha cha madha wako mie mnhh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...