Home
Unlabelled
kamanda kova akitambulisha watuhumiwa wenza wa jerry muro leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inamaana hizo kamera za CCTV zimekamata maongezi yao pia wakati wako kwenye mgahawa? this is unheard of, kama ni hivyo inabidi tuwe makini na tunachosema tukiwa mahotelini. pili kwa nini umekuja kuwanadi hao watu hapo na wewe huna nguvu za kimahakama, what if they are innocents? kwa nini Kova asionyeshe hizo clips tu kotoka kwenye CCTV cameras? mwisho ambacho ni muhimu kama hawa jamaa ni criminals kama unavyowaeleze kwa nini unawaweka hapo kwene chumba kilichojaa waandishi bila kuna na security ya kutosha na watuhumiwa wenyewe hawajafungwa hata pingu, haawaoni kama waandishi wote wako kwenye risk kama hawa jamaa wataamua kufanya chochote as they can care less because they are already criminals?
ReplyDeletethis is stupid,kama ni wahalifu mbona hamna pingu? mbona hawako chini ya ulinzi, wamesimama kama mshikaji wao, stupid!!
ReplyDeletesasa kova sijui kuve mbona mambo ya kitoto afande mzima. tumikia taifa vizuri bwana. we dont trust you anymore
ReplyDeleteKweli Watuhumiwa Wapo Press Conference...BILA PINGU?!! Kama kweli ni watuhumiwa...au FIX?
ReplyDeleteAMINIAAAAAA huyo ndio Kova bwana!!! hataki mchezo na mtu!
ReplyDeleteKama Muro kachemsha, kachemsha! na kama hao Askari wamechemsha hiyo technologia itaelezea ukweli!
Yangu Macho! Bongo Oyee!
HAHAAHAHA POLISI WETU BWANA HUYU ANAISHI HAPA MJINI KWA UTAPELI TU HAHAHAHA!!! POLISI HAJUI HATA KUONGEA BWANA ANAONGEA KITEMITEMI TU PALE KWA WANYWA SUPU DUH! KAMA KWELI HAO NI MATAPELI WAANZE KUWAKAMATA NA VIONGOZI SASA. KUANZIA LEO NYIMBO ZANGU CLOUD MSINIKATE LAKI MBILI ITAKUWA UTAPELIIIIIIIIIII!!. JUMA.
ReplyDeleteHolly crap!!!!!, I still don't get it. Can any one remind me of seeing police press conference with suspects on their side giving all the details to journalists like this before?!!!!!.Come on, you got to be kidding me, what is so special this time around?!. Something fishy must be going on. I see it like police are trying to run away from their shadows. They tried to cook it but now seems to be boiling on them. I still don't get, what is so special?????
ReplyDelete"huyu hapa anaitwa... wee sogea huku njoo hapa njoo hapa huyu hapa anaitwa deogratius mgasa ana umri wa miaka 35 hapa mjini anaishi kwa utapeli, halafu kuna edmond kapama huyu hapa anaumri wa miaka 52.."
ReplyDeletebongo burudani ....!thanx u made my day kova nimeireplay hiyo statement mara 10 na bado naendelea... nacheka sana lkn ndio ukweli watu wanavyoishi mjini.
KOVA ACHA AIBU HIYO, HIYO SI KAZI YAKO KUELEZEA YOTE HAYO HIYO NI KAZI YA MAHAKAMA, JAMANI ELIMU NI MUHIMU SANA, UNA UPUNGUFU WA ELIMU, LAKINI SI KOSA LAKO NI KOSA LA SERIKALI YETU HAPO ZAMANI ENZI ZENU SERIKALI ILIKUWA INACHUKUWA DIVISION ZERO KUWA MA-POLICE, FAULO IPO USITUDANGANYE.
ReplyDeleteCyber what? KOVA give me a break. UNAVYONGEA TU INAONEKANA NI UONGO MTUPU ULIOPANGWA. ACHENI OUNEZI. KIKWETE FUTA KAZI HAWA WABABAISHAJI, KUNA VIJANA WAMESOMA SIKU HIZI EBU WAPENI KAZI HAWA WAZEE WAKAPUMZIKE. NI AIBU KWAKO MZEE KIKWETE MCHAPA KAZI WANAKUARIBIA SERIKALI YAKO
ReplyDeleteWananchi hatuna jeshi la polisi pale tuna matapeli tuu na wababaishaji kama kina kamanda kova na wenzake...huwezi amini anachoongea na he doesnt make any sense katika maelezo yake,hii kesi isipofanya JK akalifanyia uchunguzi hili jeshi la polisi na kuwawajibisha hawa kina kova basi mjue tumekwisha.
ReplyDeleteC,mon kaka Michuzi,
ReplyDeleteJamani mimi sio mwandishi wa habari lakini swali ningetaka kumuuliza Kova.
Kama hao jamaa wanajulikana ni matapeli sugu na anawajua kwanini mpaka sasa wanazidi kutapeli watu uraiani?
Haoni kwamba Kova anajishusha hadhi mwenyewe?
Ina maana anawajua matapeli ni nani katika jamii lakini hawakamati au kuwachukulia hatua.
Oh god! this can only happening in Tanzania.
We sijui Kova au kamanda Kova sheria ya wapi ya kuwatambulisha watuhumiwa kwenye jamii?hao kwanza ni watuhumiwa tu bado hawajahukumiwa na kukutwa wanamakosa au hawana .je leo ikakutikana hawana kosa mahakamani na wewe umeshawaita ni matapeli wakubwa si wanaweza kukushtaki tumia akili au azima akili kwa wanafunzi wa primary school.
ReplyDeletemdau shule ya msingi ZANAKI DAR.
he he he! sasa mbona mmemuacha Jerry kama mkweli,Huyu kova anaona aibu kweli,yaani michezo yote hii ni ya kupanga,wameshindwa mbinu,SASA HAO WATUHUMIWA WAPO HAPO:JE,JERRY YUPO WAPI?.BABU LINAONA AIBU HAPO-KIKWETE MBONA UPO KIMYA ULOMTEUA ANAKUTIA AIBU HAJUI APANGUE VIPI MPIRA WAKE.
ReplyDelete(NURAMO)
That is 21st centuary! now Police has become politics, you dont have to call press to explain things, you are just convicting them before going before the court of law, by that way you are just destroying the case if they are able to get clever smart lawyer. HAO PIA UMEWAPANDA ILI KUHALALISHA KESI YA JERRY MURO KWA NANI HAJUWI, HAO MATAPELI MMEWATUMIA ILI KUMNSA JERRY, UMEWAKATIA KITU KIDOGO ILI WAWAFANYIENI HIYO KESI. NI AIBU HIYO PAMOJA NA SERIKALI NZIMA NI JAMBO LA AIBU, HAINGII AKILI HATA MWA KICHAA AU TAIRA, SI MUNGESUBIRI ANGALAU MWAKA ILI MUNFANYIZIA LAKINI HAPO KWA HAPO HATA ZEZETA ATAJUWA KUNA KITU HAPA, MFUNGENI JERRY SISI WANANCHI TUTAPAMBANA NA NYINYI, NILIKUWA SIELEWI KWA NINI ZANZIBAR KUNA VURUGU KUMBE NDO INAANZAGA HIVI.
ReplyDeletehii inshu kwa jinsi kamanda kova anavyoongea nadhani ni ya kweli na na hao jamaa wanajuulikana sana hapa mjini na walishakuwa na mikesi kibao kwa utapeli sasa mambo yote wacha wende mahakamani wakajieeleze vizuri
ReplyDeleteJAMAA ANASURA MBAYA...MIZENGWE PINDA HANDSOME.
ReplyDeleteyani hapo mjini bado kuna watu wanaishi kwa njia za utapeli tu!!! vp nyinyi hanjui njia nyengine ya kutafuta pesa pumbavu zenu nyii peleka jela hao wakione cha moto kazi kupenda starehehe tuuu
ReplyDeleteI have no legal training, but is it right for this police officer to parade and accuse these people like this and declare that they are criminals before they appear before a judge
ReplyDeleteAMAAAA KWELI SASA NIMEAMINI KUA UYU MZEEE AMNA KIT. ATA KUONGEA TU AJUI, IVI KAFIKAJEFIKAJE APO.
ReplyDeleteTanzani kweli bado tuko nyuma sana inakuwaje mtuhumiwa anasimamishwa kwenye NEWS CONFERENCE na kusomewa mashitaka as if you mbele ya JUDGE?? Man nimeangalia hiyo clip nimeshangaa sana na kushindwa kuelewa what is going on in TAnzania? Nafikiri kama nilivyosoma maoni ya watu jana TZ-Police inatakiwa mabadiliko makubwa sana katika idara zote kurudisha imani kwa wananchi. Especially for those in the Top wanatakiwa wasomi wenye upeo na mambo ya sheria kuongoza jeshi hilo sio kama hutyu KOVA kwani jeshi halina Public relation??
ReplyDeleteMdau USA
Hii kesi itaonesha jinsi Watanzania tulivyo watu wa ajabu. Watu kabla hata ya kupata vielelezo na bila hata kujaribu kumfahamu Jerry Muro, kila mtu akaanza kushambulia Polisi. Sasa hapa mna cha kusema?
ReplyDeleteJiulizeni swali rahisi tu: Mwandishi anatembea na bastola na pingu mchana kwa lengo gani?
Kwa waliokwenda shule, hebu angalieni tena ile video ya Muro halafu msome "body language."
Kwa yeyote aneyemjua Muro, ukikutana naye muulize: "Baba yako wa ubatizo ni nani," kama hakurusha ngumi. Hii ni ktendawili kingine.
Jamani mbona matapeli tunakutana nao hata Ikulu. Kukaa na matapeli meza moja siyo hoja. Matapeli wako mpaka central police station na wanashirikiana na Police. Ma mission town wengi ni matapeli. Mawazsiri wa nchi hii wanatapeliwa na matapeli utawakuta wizara karibu zote katika mishe mishe. Hakuna anayeweza kusema hana jamaa yake ambaye ana sifa ya utapeli. Acheni kumbambikizia Jerry kesi!
ReplyDeleteAma kweli tanzania tambarare! hapa mkuu wa polisi katia mchanga kwenye kitumbua, sijui ni sheria gani alizofata za kuwaweka hadharani watuhumiwa na pia kufika kupiga mhuri wake kuwa anatuhakikishia kabisa kuwa hawa vijana wana makosa.
ReplyDeleteHawa vijana wakipata lawyer mzuri wanatoka na wanaweza hadi kudai fidia ya kuadhirishwa na mkuu wa polisi mbele ya vyombo vya habari.
msije ruka mnaopenda kuruka, sisemi kama hawakufanya makosa, maana mimi sikuwepo walipofanya makosa, ninachosema mimi ni kuwa mkuu wa polisi hakufata miongozo ya sheria ya kuwaweka physically hadharani.
kaka hilo suala linaanza kuwa gumu sasa. huyu jerry atakuwa matatani sasa?? manake kwanza inaonekana wanafahamiana na huyo muhasibu aliyeombwa rushwa hata miwani yake ikutwe ndani ya gari la Jerry. ingawa yaweza kuwa pia ni mtego uliwekwa na miwani kuachwa garini makusudi.
ReplyDeletelakini la pili na la kushangaza, ni kwa nini Jerry amiliki na kutembea na PINGU ili hali yeye ni Muandishi wa habari?? hii yaweza kumtia hatiani. tatu kama ni kweli alishirikiana na hao washkaji ambao kova kawaita matapeli sugu wa mjini hapo basi jerry anakuwa katika mazingira magumu. yawezekana kweli alitaka kupewa rushwa manake bongo hapo mjini bwana watu wana kazi mbili mbili.
Mdau wa P&T
huyu kamanda wa polisi.. la la laaaaaa!!!!! yani eti anasema tena kwa msisitizo mkubwa kaaaaabiiisa, kwamba hawa watu hapo ni matapeli wakubwa na kwamba walikuwa wanawajua siku nyingi, kwamba wametapeli watu wengi sana hapa mjini!! sasa swali ni kwanini hawa matapeli maarufu hivyo walikuwa bado hawajakamatwa? jamani! we kamanda wa kanda ya dar es salaam kama ulikuwa unawajua hawa watu na utapeli wao, kwa nini bado walikuwa huru kuendelea kutapeli watu??? tena unasema mwenyewe kwamba eti ulivyowaoona tu kwenye clip ya CCTV ukawatambua na kesi nyingi tu walizofanya unasema unazijua lakini bado walikuwa huru kuendelea kutapeli.
ReplyDeletekweli bongo kazi ipo jamani, watuhumiwa wanatambulishwa rasmi kwenye press conference na kamanda wa polisi, duh!! alafu kamanda sasa anachemsha pronunciation za maneno hapo mpaka mmoja wa watuhumiwa anacheka, eti kamanda unatambulisha watuhumiwa, huku watuhumiwa wanakucheka.
Pia kama nimemuelewa kamanda vizuri, amesema kuwa Mr Muro nae anaonekana kwenye CCTV, kama ni kweli, Muro itabidi utupe hadithi yako ni kwa nini unaonekana na hao watu pamoja na mlalamikaji. Kwasababu Mr Muro kama uko guilt utavunja roho za watu wengi.
Kazi tunayo watanzania
hang on, kila stori ina pande mbili. mimi nataka kujua ni siri gani walionayo hawa jamaa against mlalamikaji kiasi kuwa wakawa wanamtishia. Bila shaka kulikuwa na uwezekano wa kuandika au kutangaza jambo baya ambalo mlalamikaji asingelipenda lijulikane na ndio maana wakata pesa zote hizo ili wakae kimya.
ReplyDeleteIs Muro clean? Hell Nooooooooooooo
ReplyDeleteWanamuonea? Hell noooooooo
Majungu? Hell Nooooo
Zamu yenu wengine inakuja
Tutasafisha wala rushwa woooooooote
mi nadhani hao wanaodaiwa kuwa ni matapeli sugu wamechukuliwa hili wamkandamize jerry. kwa nini hawajasweka sero kwa utapeli wao sugu miaka yote tangu wafahamu kuwa ni matapeli???.. hapo lazima watafundishwa mambo ya kuongea kumwachia zali lote jerry.. hii issue sio salama
ReplyDeleteUkweli tutaujua ila kwa mlivyoshupalia mnaonekana mna lenu jambo.
ReplyDeleteInamaana hao matapeli wa mji huu miaka yooote mlishindwa kuwakamata wakati details zote mnazo? Mnajua wanakaa wapi? Nyie polisi majambazi nyie.. Acheni uwongo kwa wadanganyika.
Ukweli usipotoshwe hapo, Jery komaa watakuhusisha hawa, watakuharibu, ndio lengo lao maana umeshatoa uozo wao. Wakitoka kwako wasije mfuata kaka Michu wakasema yeye TAPELI LA AFRIKA MASHARIKI, Tutaingia mitaani.
Sagga Kontinues!
Hivi mbona John Mashaka hajatoa tamko lasmi? Au na yeye pia alihusika kwenye hii Dili. Kama yeye atakuwa rais, kwa nini asilaani kitendo Kama hichi? Au kwa sababu kova ni mshikaji wake?
ReplyDeletepolice wamekosa wawakilishi. UHANDISHI NA PINGU,+BASTOLA +DEO+KAPAMA=DEO NI TAPERI
ReplyDeleteYani nimecheka kidogo nife..yani huyo mdau anaedai tamko rasmi la John Mashaka kuhusu hii issue kaniua kabisa.. Utamu wa hii blog ya jamii uko kwenye comments bana duh.Mdau I got to say you´ve made ma day.That joke was the coolest so far.
ReplyDeleteMtunza Kumbukumbu
ReplyDeleteKOVA:Tunawajua hawa kuwa ni matapeli wa siku nyingi tena walishawahi kumtapeli dada fulani...
KOVA: "Tunawajua pia majambazi yote sugu, mpaka wanapokaa tunangojea tuu tuwakamate wakifanya makosa tena...tena wana kesi chungu nzima hapa"
KOVA:" Hata pale gerezani tunajua wanauza parts za magari zilizoibiwa hapa mjini lakini tunangojea waibe tena tukawakamate...."
KOVA:"..........."
DUH KWELI POLISI MNAFANYA MAISHA YA RAIA YAWE MAGUMU SANA... TUNASHINDWA WA KUMUAMINI SASA!!!
KUMBUKENI kuwa uchaguzi mkuu unakuja. Kesi kama hizi mtazisikia sana..hii yote ni danganya toto tu ili kuanza kuwatia hofu waandishi wa habari..ili wakati uchaguzi mkuu ukifika uhalifu wowote usitolewe..!! KUMBUKENI..ni lazima uhakikishe wewe mwenyewe ni msafi kama almasi kabla hujaanza kutoa madhambi ya wenzako la sivyo yatakutokea puani...!! KUMBUKENI...demodrasia ni process inayochukua miaka mingi..kwahiyo na ninyi waandishi wa habari japokuwa mnafanya kazi yenu nilazima MKUMBUKE kuwa "mwenye rungu ni kichaa" na hakuna ustaarabu...nendeni kwa akili na polepole...!! KUMBUKENI...hatuna uhakika kuwa hata huyo Jerry hatumiwi na wanausalama kuanza kuwajengea hofu waandishi wengine wa habari...!!KUMBUKENI..Uchaguzi mkuu uko mbioni...!! MDAU-USA
ReplyDeleteMIE WOTE WANANICHANGANYA ALIYESEMA HIVI:
ReplyDeleteTUMUULIZE JERRY MURO YEYE MUANDISHI ----- PINGU NA BASTOLA YEYE YA NINI? HII KWELI SWALA LA KUJIULIZA PIA JERRY MURO ANAONEKANA NI SECURITY MAMBO YAO WAMEHARIBIANA HUKO SERIKALINI SASA WANAFUNGANA.
HII NDIO BONGO BWANA UNAAMUUZIA MTU CHENI FEKI NA MNUNUAJI ANAKUPA PESA FEKI. KIMARO.
Okaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaay! kwa hiyo polisi waliongea na matapeli wanawajua vizuriiiii. and wanashindwaga kuwafunga kwakuwa hawaachagi vithibitisho wanapotapeli. they are always smart. Matapeli wakampigia simu Murro njoo tuna habari nyeti breking neeeeeeeeeews for you jerry! Jerry akakimbilia. pale city Garden kibaka kafungua gari kaweka pingu. huyu kibaka hatakamatwa fro the coming month kwakukwapua vitu pale samora.
ReplyDeletebonge la muviiiiiiiiiiii msirudi Bongo. Mtalia.
...CCTV kirefu chake ni Close Circuit Television.Hizi aina ya camera ambazo hutegeshwa katika sehemu mbalimbali kwa ajili ya ulinzi,mfano ukiwa na control centre unaweza kuangalia au kulinda eneo kubwa kuliko mlinzi mmoja.
ReplyDeleteKinachotakiwa kupatikana ni CCTV footages ambazo zilirekodiwa na kamera za hoteli hiyo na siyo electric.
Mdau
Mara nyingi picha zake huwa sio sawa na picha nyingine na hii inategemea cameara zilizopo zina ubora wa kiasi gani na uwezo wake vilevile.
hahahahahah eti mizengo pinda handsome....hahahhahahaha hakyanani hii blog idumu rahaa tuuu...
ReplyDeleteKova akasema,"Hawa nakuambia kabisa ni matapeli sugu na wameshaathiri, wameshatapeli watu wengi hapa mjini..."
ReplyDeletePamoja na mkanganyiko wote katika kesi hii, na mimi niseme kuwa,
NAWAMBIENI KABISA HAPA AFANDE KOVA AMEKUWA MKWELI KUDHIHIRISHA JINSI TUNAVYOISHI NA WEZI NA MATAPELI NA WANAVYOENDELEA KUTUATHIRI BILA KUCHUKULIWA HATUA YEYOTE,SI KUTOKA POLISI, MAHAKAMA WALA HATA KUTOKA KWETU SISI WANANCHI. VYOMBO VYA DOLA VINATUANGUSHA SANA KATIKA HILI LAKINI PIA HATA SISI WANANCHI UNAKUTA TUNAWASHANGILIA NA KUWAONA WATU WA NAMNA HIYO KUWA WAMEWIN NA KUWAPA ETI 'RESPECT'!
KAMA TUNABISHA BASI CHUNGUZENI KWA 'CCTV' ZA MIOYO YENU NA MBONGO ZENU WALE AMBAO HUWA WANAIMBWA NA KUPAMBWA NA KARIBU KILA BENDI ZA MIZIKI TZ (MAANA WANAWAKATIA RED RED KIBAO) HUWA WANAFANYA KAZI GANI? AU VYANZO VYAO VYA MAPATO NI NINI NDIO MTAJUA!
WAPAMBWAJI HAO HAWANA VIWANDA AU BIASHARA KUBWA, SHULE ZAO NI HAFIFU TU NA WALA HAWANA AJIRA ZINAZOELEWEKA; NAULIZA VYANZO VYAO VYA FEDHA NI NINI? MSINIAMBIE MAJINI MAANA TUNGESHA YAFUNGA BARA LA AFRIKA LIKATOKA!
KWA STAHILI HII UJAMBAZI, WIZI, UTAPELI NA RUSHWA UTAENDELEA KUSTAWI MAANA VINAPALILIWA NA KUWEKEWA MBOLEA KILA MAHALA.
TEHEEE we mdau uliesema kova ana sura mbaya mizengwe pinda handsome umeniuaa nimepasukaa paaa ila bilashaka utakwua mwanamke mpaka unotice kiasi hicho HAA!
ReplyDeletewatashaaaa warogooo
disminder
JOHN TUNAMASHAKA NA WEWE JOHN MASHAKA MBONA KIMYA????????????????????????????????????????????????
ReplyDeleteNinaweza kuwa wrong. Mpaka sasa uchunguzi wangu unaonyesha kuwa, hapa Jerry kachongewa tu hili bomu.
ReplyDeleteHii haina maana kuwa Waandishi wa habari ni wasafi; nakuhakikishieni kuwa wengi ni wachafu saaaaaaaana. wamekuwa watu wa 'no bahasha no news! au 'bahasha with news on your side. Ni aibu sana.
Halafu, huyu tapeli (mfupi) sura yake ka yule ambaye alikamatwa hapa Serengeti mwaka fulani katika jaribio la kuwatapeli wafanyakazi wa Hospitali Mugumu kwa kuwaahidi kuwaletea vyombo vya nyumbani kwa bei poa.
Duh! Raha tupu! kumbe polisi ya Bongo ikimtaka mtu siku moja tu inampata,maana Baada ya Jery kutoa malalamiko yake basi mbio watu wamekamatwa,Cha kushangaza hawa matapeli mi nilifikiri ni mabodigadi wa Kova,maana hawana wasi wasi kabisa,Ila tuangalie pande 2,Kuna siri kati ya Kova na Muro,kwani kauli alozitoa Muro jana,kwa Polisi ya Tanzania ingekua ishamuweka mahabusu zamani,sasa mbona hawa matapeli waloshirikiana na Muro wamekamatwa Muro yuo Nje! Pili hii press ilikua Polisi au wapi?Mbona hakuna hata Pingu za hawa watuhumiwa?Maana mahakamani ndio pingu hufunguliwa sasa watu wapo na suti kamili hakuna hata alama ya kofi!! Kumbe polisi ya Bongo ukitaka uipatie basi jirikodi tu umpe Michuzi akutoe hapa na wao basi mbio watatoa press confrence kujibizana na wewe,saivi siwaogopi tena polisi kumbe ukiwapakazia tu wanakuacha.
ReplyDeleteELEKTRONIKI, Bongo tambarare,
ReplyDeleteWacha nife huku uhaibuni, na gamba la wenye kujali watu, na si wanyama, kama inavyoonyeshwa kwenye ELECTRONIKI KIDEO CHA KOVU.
Hii nchi kaiharibu sana NYERERE na majuha na kutunyima elimu, huyu KOVU kafikaje hapo alipo...
Wewe njoo hapa, matapeli, sasa hawa wanatapeli imekuaje wako uraini, since you know their criminal profiles, did you send them to court on those past criminal activities, you accused them off?? Were they actually convicted of such acts, you profoundly mentioned on your statement,
Jamani nipeni mimi hii kazi, I will make it better.
Napendekeza wote, tukitoa maoni tusigh,
Ni mimi
Jerry Mweru. (tuko wengi tu nje na ndani ya nchi, sijui utasting mpaka lini)
HII KAMA THE KOMEDI SHOW ??? hawa polisi wetu ni bad news hebu nawaomba maofisa wakuu wa polisi wapitie (CIRCUS) huyu kova kwa kweli hajui kazi hii kwani polisi haina msemaji wake ?? vitu kama hivi kunawatu wanaojuwa kuzunga na umma hapo aliposimama analihutubia uma na sio waandishi wa habari .
ReplyDeletejambo jingine kuna haki za binaadamu zinakiukwa hapa sheria hii hairuhusu kumwambia mwananchi kwamba mwizi bali anshukiwa wizi , kama hawa majambazi wanajulikana sana na polisi kwanini wako uraini siku zote ?? au na wao walitembeza pesa kuwa huru . bwana kova achia ngazi
Haya sasa "KESI YA NYANI AMEPELEKEWA TUMBILI"
ReplyDeleteHahahahaaa.. Hii ni mpya leo, watuhumiwa bongo wanakaa kwenye press conference.. Hhahahaa.. wangepewa nafasi ya kuongea basi.. Jeshi la Polisi limekwisha kabisa namaanisha halina maana. Kikwete wafukuze hao watu kazi wanakuharibia sifa ya nchi tuu..
ReplyDeletePili kwa Jerry Muro, we bwana kuna wananchi wengi tuu ambao wamefurahia kazi uliokuwa unaifanya.
Ushauri wangu: Tengeneza maelezo yako kwa ufasihi na ukweli, tumia vyombo vya habari haswa intaneti kusambaza taarifa hiyo na watu waisapoti. I mean you have to go on referendum. Eleza kwa wananchi waelewe kama kwa hakika haukuhusika.
Kwa maelezo uliyoyatoa ndugu yangu unahitaji kujipanga vizuri na kama ikiwezekana tafuta mtu wa sheria akueleze namna ya kujipanga vizuri ni muhimu vinginevyo kaka kitakula kwako hawa jamaa wamedhamiria kukuangamiza! Utasahaulika if you wont fight back. Use the media power you have ndugu, huo ndio mpini na umeushika wewe, otherwise wakifanikiwa kugeuza kisu kwako, umekwisha.
Kova: Afande tunajua unafanya kazi yako, ila hii usijaribu kwenda kichwa kichwa, utaumbuka na sisi wananchi tutakufukuza kazi, kumbuka sisi ndio waajiri wako. Stupid
Hii kali ya mwaka yaani mtuhumiwa anatabulishwa kwenye press na hapohapo ameshahukumiwa maana anasema kwa msisitizo hawa matapeli je mahakama ikiamua vingenevyo utafanya nini?
ReplyDeleteKihelehele cha nini chote hicho kutambulisha watuhumiwa siku zingine tunaonaga bastola tu! Kweli fisadi hana aibu! mijitu mizima inaframe frame mambo hiyo imeshtukiwa!
NINACHO MSHAURI JERRY MURO ATAFUTE LAWYER MZURI TU KESI NDOGO MNO NA NI YA KITOTO SANA.NDIO MAANA KOVA ANAJARIBU KULAZIMISHA KESI KIASI HICHO.
ReplyDeleteSIJAWAHI KUONA DUNIANI PRESS CONFRENCE NA WATUHUMIWA WAPO WAMESIMAMA PEMBENI HUKU KAMANDA AKITAJA MAOVU YAO KAMA MAHAKAMA ISHAWAHUKUMU TAYARI.NA KAMA HAO JAMAA NI MATAPELI SUGU KWANINI HAWAKUKAMATWA MDA MREFU MPAKA KWENYE HII KESI NDIO WAMEKAMATWA KIRAHISI HIVI? HAPA TU MTOTO MDOGO ANAJUA KWAMBA NI UPISHI NA KITACHOTOKEA HAWA JAMAA WATAKUBALI MASHITAKA NA KUSEMA KWELI WALIFANYA NA JERRY MURO.
JERRY MURO JIANDAE MZIGO WAKO UNATUPIWA NA HAO WATUHUMIWA WA "PRESS CONFRENCE".TAFUTA LAWYER NA WATANZANIA WENGINE MUE WAANGALIFU SANA NCHI YETU MBAYA UNAWEZA KUOZEA JELA BILA KUFANYA KITU.
kikwete futa kazi hawa illiterate police.. upumbafu tu na kupoteza govt resources
ReplyDeletewaachieni raia waendelee na maisha yao kuna kesi za muhimu za kufatilia
Mlalahoi, ur on point.. that's wat is going down on this issue.
ReplyDeletei guess the deal was made btw those two people and police if they agree to be witnesses against muro then police and their allies will charge these two dudes for their previous offenses with less weighty charges. is just like be a witness on this case then you will not go to jail for along time for the other case they already had.
The purpose is to convict muro for corruption and the other guys will get lesser sentences.
Kama hawa jamaa wakikutwa hawana hatia itabidi kamanda Kova ajiuzulu. Kuwananga hawa jamaa kwenye mkutano wa waandishi wa habari unaonyesha jinsi polisi walivyokuwa wababahishaji. Kwani angetaja majina peke yake ingekuwa nini mpaka aje nao pale? hivi sheria ya Tanzania inasemaje kuhusu kuwatambulisha watuhumiwa kabla ya kuhukumiwa? kama wakipatikana bila hatia si unakuwa ushawapa sifa mbaya na kuwatoa uaminifu kwenye jamii? Wanasheria naomba msaada wenu kwenye maswali yangu haya
ReplyDeleteUPUMBAVU MTUPU, MAMBO GANI HAYA SI UHUNI HUU?.
ReplyDeleteAIBU SANA NCHI GANI HII, POLISI WANAWASIMAMISHA WATUHUMIWA KWENYE PRESS CONFERENCE.
NCHI HII ITAHAMKA LINI?
Hello Ankal.
ReplyDeleteTafadhali mfikishie ujumbe huu mheshimiwa kamanda Kova.
Kamanda Kova nilikuwa natarajia kuwa kwa speed uliyoanza nayo ungeleta mabadiliko makubwa sana kiutendaji ndani ya jeshi la Police hasa baada ya kutokea yaliyotokea kwa Kamanda Zombe, nilitarajia kuwa ingekuwa fundisha kwa askari kufanya uchunguzi kabla ya kukurupuka na kuita press conference bila kuwa na evidene za kutosha, hii kitu imekuwa ikileta shida kwetu sisi wananchi, kwani tumekuwa tukisikiliza maneno yenu nyinyi police kwa muda sasa na kila mtu akienda mahakamani anashinda kesi.
Hii inalishushia heshima jeshi letu la police na kufanya sisi wananchi tusiwe na IMANI nalo hata kidogo kwani kila kukicha ni story na porojo na press conference zisizo na tija kwa jamii.
Hivi kama hawa jamaa wakienda Mahakamani na kushinda kesi nafasi yako katika jamii na kelele zote ulizipiga zitakuwa zimekufisha wapi na wakiaamua kukupeleka mahakamani after that unafikiri utakuwa na la kujitetea ukizingatia vyombo vyote vya habari vimekurecord ukisema maneno hayo kwa kauli yako na kujiamini.
Nimezaliwa ndani ya Jeshi la polize, nimekulia ndani la jeshi la police, naujua udhaifu wa jeshi hili kupita kiasi, nilitarajia utajitahidi kuurekebisha udhaifu huu na badala yake umechangia kuuongeza ndani na nje ya jeshi hili.
Sasa hivi duaniani kuna technolojia za kutosha, tumia technolojia hizo na wala si kutumia porojo.
Nina mengi ya kusema ila hapa si mahari pake, ila kwa ushauri wa bure KAMANDA ANAGALIA UNAPOELEKEA...
Raia Mwema.
Kweli hiki nilichosikia na kuona hapa ni kitu cha ajabu sana. Kamanda anasema kuwa hawa matapeli ni sugu na ni wa siku nyingi na walishawahi kuwaonyesha siku za nyuma kwa kosa la kumtapeli dada fulani. Sasa siku zote hizi walikuwa wapi kuwapeleka mahakamani? Kama walipelekwa wamechukuliwa hatua gani? Kama hawajachukuliwa hatua yoyote wakati wanafahamika siku nyingi nini picha hapo? Je wananchi tutakuwa na uhakika gani kama hawajapewa chochote kupandikizwa hili jambo maana wao hawapotezi chochote tayari wana kesi kibao kwa mujibu wa Kamanda.
ReplyDeleteKOVA UNATIA AIBU NCHI,TUNAONEKANA WOTE WAPUMBAVU SASA WEWE NDIO AFANDE WA JUU JE CHINI SI VIOJA.
ReplyDeleteKova aibu tupuu?mbona una hata ubunifu kidogo? haya hao ni matapeli wakubwa na walikuwa wanafahamika ulikuwa wapi kipindi chote mbona hukuwakamata? au baada ya jerry kuwatoa mkipokea rusha ndio mkaanza kumtafutia sababu? huu ni uongooo mtuuupu kova hata mtu alosoma saikologia akikuona unavyoongea anajua ni uongo
ReplyDeletekova amechemsha hata aongee vipi kuupindisha ukweli sidhani kama kuna binadamu mwenye akili timamu ataweza kumuelewa labda atumie magic power...
ReplyDeleteiweje leo anasimama na watuhumiwa mbele ya vyombo vya habari anawatambulisha wakati hata siku moja sijawahi kuona wanatambulishwa badala yake huwa anatoa maelezo tu kwamba tumewakamata matapeli kadhaa. amekiuka haki za binadamu na laiti ingekuwa nchi za watu angefungwa au kutemeshwa kazi kwa kuwahukumu jamaa wakati yeye si mahakama. je wakishinda kesi atakuja nao na kuongea na vyombo vya habari kuwaomba msamaha? wale ni watuhumiwa bado hawajathibitika kama wana kesi ya kujibu au la.
ningemshauri hizo cctv camera angeenda kuziweka kwa mkemia mkuu wa serikali ili kuzibiti wizi wa computor kuliko kuzitumia katika masuala ya COSPIRANCY.
NONDO
Who is better than Kova?
ReplyDeleteKova is great
Songa mkuu usiwasikilize street lawyers wanaojifanya wamesomea sheria ya laws.
Maoni yote kama ya waganga wa kienyeji vile
Kamata wala rushwa wote
Yaani jamaa hata kaunda suti za "makachero" walisahau kuzibadili? halafu mtuhumiwa gani amekunja mikono na kukaa "mkao wa kula" hivyo? Utadhani anasubiri aletewe sinia la kuku-biriani? Hapo mmeicheza kitoto sana...try something else another time...!!Halafu ukiangalia hiyo video wakati wanatajwa kuwa Matapeli waliokubuhu mmoja wao anatabasamu...Lol..uwe chini ya vyombo vya sheria halafu unatabasamu? Si hata yeye aliona kuwa huu mchezo wa kuigiza unanoga...ni kama Comedy.....!! ha ha ha...!! Yaani haina tofauti na Zecomedy...!!
ReplyDeleteJIna: Alfande Kova aka "Elektroniki"
ReplyDeleteTalent level: Mgambo
Position: Mkuu wa Polisi
Request: Since it is Ok to bring the accused to the press conf can we please see the previous ELECTRONIKI of hawa Matapeli in action.
Duh! kova aibu tupu mimi binafsi ninamwomba rais kikwete awe anawapa hawa polis exposure.waende kwenye nchi za wenzetu waone polisi wenzao wanafanyaje kazi.
ReplyDeletekova analala anaota jerry kambamba akichukuwa rushwa halafu anamgeuzia kibao bila hata kufikiri kidogo aibu kova unamtia aibu raisi.i wish ningekuwa kikwete ningekustop kazi mara moja kwa kosa la kutojua majukumu yako.sasa hebu tueleze
KAULI MBIU KWA KAMANDA KOVA KASI MPYA ARI MPYA NGUVU MPYA FIX MPYA!!
ReplyDeleteAma kweli bongo tambarare. Mharifu akikamatwa ooooh mbona hajakaa kama mharifu, mbona mharifu amekunja mikono kama bosi bla blaha blah. Na asikpokamatwa oooh jeshi la polisi sijui linafanya kazi gani, waadabishwe, livunjwe, sijui kamanda gani afutwe kazi. Sasa lipi jema hapa duniani. Nimegundua wengi tunapenda wengine kushindwa ili tupate nafasi kuto kejeli zetu. Mitanzania ndivyo tulivyo, pathetic!
ReplyDeletewadau hii comedy imenoga kweli,, kina masanja wakowapi waturushie kweny TV??
ReplyDeleteKova sidhani kama ni dahihi kuwasimamisha satuhumiwa kama vile ma-body guard wako, bila hata pingu mikononi tena wakitabasamu then wewe unathubutu kutuambia kua ni watuhumiwa wa siku nyingi tena wanafahamika sana?? shame on you where were you such a long time hadi mje kuwakamata just a day after Muro??
kama mna uwezo wa kutumia kamera za cctv mbona bado kuna uhalifu mwingi tu utapeli,,,rushwa nk unaendelea nchi nzima???
je mahakama ikithibishakua watuhumiwa hawana kesi ya kujibu utaficha wapi sura yako kwani umesha wahukumu kabla ya mahakama???
nimesoma kwenye gazeti mwananchi wanasheria maarufu kama Mabere marando na prof. Abdalah wakisema kua mtu kukutwa na pingu sio kosa la jinai,,ningependa wafafanue zaidi jambo hili nasi tuelewe.
wadau mliouliza kua kwanini Jery atembee na bastola mchana je mlitaka atembee nayo usiku tuu??alitafuta bastola ya kujilinda mda wowote kwani maadui hawana mda maalumu wa kukuvamia
Jery kua makini wakati huu kwani ndo wakati umefika yaani kama hao jamaa mnafahamiana vizuri basi hata kama hukuhusika basi waweza kutoa maelezo yaliyo nyooka vzr juu yako kuliko wewe hivo ni bora kuwa na msemaji anayejua sheria vizuri akuongoze
wadau hapa bado nina swali la kizushi je hhizo cctv zina uwezo wa kurekodi mazungumzo ya watu au tunategemea ushahidi wa picha tu???
mdau wa Blog
india
Afande Kova, kwa ili suala watz wameshtuka.Mnalizalilisha jeshi la polisi.Kuweni waungwana kukubali kwamba polisi mmeshindwa kazi.
ReplyDeleteKova yuko very excited. Ndio maana hata anayoongea hayako sambamba na anayofikiri. Pale akilini anafurahi amemyumbisha na kumnyanyasa Murro, huku mdomo unaongea habari za matapeli. LOOOO! Kova, angalia usijekutana na mkono wa Mungu, kama ni kweli hii mmeipika, basi nikupe akili ....jifanye unaumwa tena ulazwe muhimbili ili usiendelee kuiendesha hii soo. Naogopa mzee mzima usijeumbuka bure.
ReplyDeletewatu wa nje humuwezi elewa kitu the big issue hapa ni kuwa majuma yaliyopita Muro aliwanasa askari wakipokea rushwa ile wazi wazi.Askar walikuwa hawajui kama jamaa anawachukua na kamera kwa mbali.Hizo zikarushwa kwenye chanel ya tbc1 NA KOVA aliitwa alibanwa sana na alikuwa hana cha kujitetea maana mtu umeshamwona live anachukua fedha utajitetea nini nadhani kitu hiki ndiyo wanataka kurudisha kisasi.Tupo pamoja Muro dont worry everything will be ok
ReplyDeleteJAMBO,
ReplyDeleteNAOMBA KUWAKUMBUSHA KULE MJENGONI KULIKUWA NA MALALAMIKO KWA HII IDARA "KUZUSHA" KESI, so if this is true Kuna mheshimiwa anatakiwa kubadili useme kwenye kumbukumbu za mjengoni - Dodoma.
IF JERRY YOU ARE CRAZY ENOUGH TO DO WHAT POLICE ARE SAYING THEN YOU ARE IN A BIG FRYING PAN!!
so far it is a nice END OF DAY GUMZO!!!
HEY WHERE ARE WE? NSHAPITWA NA UHONDO KWA AJILI YA KUWRITE COMMENT!!
chochote kinawezekana iwaka huu ni mchongo au sio mchongo yote hayo yatakuja tu na tutayabaini.
ReplyDeletemkitoa point angalie point zingine nipumba kama hii wanosema, ohhh muhaligu kakunja mikono kakaa kama sio mwalifu, nyie mlitaka akaeje na muhalifu ndio alivyotaka kukaa viole sasa mlitaka kova apige kinbao kwa kufunga mikono halafu muanzee ohhh kuva kampiga lice na kamera zimemnasa wamezoea kupiga watu hao na hizo ndio zitakuwa nyimbo zenu.
wakati huhu ughaibuni unahojiwa na police na unkunja mguu4 na inakuwa nirmal tuamke wajameniii.
au mnataka tukiwa watuhumiwa basi yuogope kiasi hata cha kutovuta pumzi maana ruweza tukaoneka unatikisika na kuonekana hatuna nidhamu? huo ni utumwaaaa,
Mnaona sisi wenyewe ndio tunawapa Rungu au kwa kuwa tumeshazoeya kupigwa åigwa tunapukuwa tunatuhumiwa?
Hao wanaoitwa ni matapeli sungu pale walitakiwa wakae vyoyote vile sio kama mtu akikaa kwa kuogopa ndio muhalifu au akitabasamu ndio sio muhalifu hii sio pont
mkizingatia hao hao matapeli sugu kama asemavyo Kova si walikuwa ktk fashion show ya police pale katika ile conference ndio maana hata huyo mmoja anahizo kaunda suti zao.
Hahahahaaa! Usilolijua bwana?!?!?!?!
ReplyDeleteHivi hamjiulizi ni sinema ngapi za mtindo huu zisha-ektiwa huko nyuma na sasa zishasahaulika?
Kinachotuponza wabongo, ni UKOSEFU WA ELIMU, MANENO MENGI na WOGA, Ikifika kipindi tukajua yanaondelea(kwa kufanywa wajinga ktk miongo yote iliyopita), Tukaacha kuchonga tu na kuamua kuyavalia njuga Kiukweli(kuondoa woga kabisaaaaa)! Mbona mambo yatanyooka.
Ni kutokujuwa haya mambo hayajaanza leo jamani na wengi washapotezwa kwa kuingilia mambo ya watu, kilichopo ni kutulia na kuwaacha wafanye watakavyo wao ( ingawa najua inauma kwani wanaingilia na ya kwetu)!
ReplyDeleteMtasikia tu kapata ajali mbaya ya Gari kwani ni mbinu zinazotumika hata kimataifa, ukiondoa zile za ki-magharibi, (unalipuliwa shaba kesi inakuwa un-solved maisha yanasonga) ambazo bado hatujafikia huko ila tunaelekea coz watu wameelimika sasa inabidi kutumika kwa ubabe ili yawanyookee!
Vuteni kumbukumbu huko nyuma, Ni majemedari wangapi waliojitolea kutetea wanyonge (walio wengi kuliko hao akina-elektroniki) wameondoka kwa Ajali (zao)
Tusiangalie mwisho wa urefu wa pua zetu tu jamani
Natamani kuwaaaa malaikaaaaa, natamani tena kurudi nyuma, natamani kuwa kamaaaa zaminiiiii , natamani kuwa kama mtoto, natamani kwenda kwenye maduka ya ugawaji, natamani kununua sukari kwa kibali, natamani kuvaa viatu vya juma na roza na raba mtoni, natamani kuwa na TV yenye kadi kama za Gari,natamani kupanda mabasi ya ikarusi, natamani nisikilize mama na mwana, mchezo wa radio radio tanzani, uwiiiiiiiiiii natamani nisijue kinachoendelea
ReplyDeleteMtu alikusumbua yu jast eliminati himu, if yuu a cleva hi wil jast vaparise ( yu no the way smoke disapire in the skai) bat if yuu a not cleva yuu live yua steps bihaindi, NOW IF YOU ARE STUPID LIKE THIS PEOPLE YOU FORGET WHAT YOU WANTED TO DO AND MESS UP EVERYTHING EVEN YOUR BRAIN,YOUR CONFUSE YOURSELF AND FIND YOUR BODY IN THE PRESS CONFERENCE, YOU CONVICE (SORRY CONFUSE) SOME OF THE PEOPLE LISTENING TO YOU. mwisho wa siku sasa sisi tumaopatahabari kupitia watu wengine, tunawaibia waajiri wetu muda kisa hii confussion
ReplyDeleteKWA MTU MWENYE AKILI HAPA HAMNA KESI KABISA. HATA KAMA WANA PICHA ZA CCTV LAKINI KUTAKUWA HAKUNA SAUTI KWA HIYO KILICHOZUNGUMZWA HAKIWEZI JULIKANA, ITATEGEMEA TUU MADAI YA MDAI KUWA TULIZUNGUMZA HIKI NA HIKI.INAWEZEKANA KOVA ANATUYEYUSHA HAIKUTUMIKA CCTV LABDA KITU KINGINE NA KIMECHUKUA SAUTI. JERRY ATAKUWA MATATANI KAMA ATAONEKANA KWENYE VIDEO ILIHALI ALIKATAA KUWA ALIKUTANA NA MDAI (PATAMU HAPO!!).
ReplyDeleteMzozaji
Alafu unaniambia nirudi Bongo pamoja na upuuzi na uonevu kama huu? Mimi wacha tuu nibebe boxi mpaka nifie hukuhuku ughaibuni. Duh!! Kazi ipo, tena kubwa !!!!
ReplyDeleteNoo.. aisee it cant be true. Unajua this is only a trick ya kumpoteza Jerry sababu yuko makini na kazi yake. Kawaumbua sana Polisi wala rushwa so thats why they are making him pay back....NINACHOSEMA HAO POLICE WAOMBE MUNGU WASHINDE HIYO KESI LA SIVYO THEY ARE GOING TO PAY A LOT OF MONEY TO JERRY KWA KUMCHAFULIA JINA LAKE....KOVA kazi kwako because kwa kukurupuka tu hujambo!
ReplyDeleteHawa wazee wengine wanaopata madaraka kwa kuloga ndio wanaorudisha maendeleo ya nchi nyuma! Hii yote ni njama ya polisi kutaka kumfunga mdomo Muro ili polisi waendelee kula rushwa kama kawaida maana yeye amekuwa akiwaumbua jinsi wanavyopokea rushwa kwenye vyombo vya habari.
ReplyDeleteNYIE WOTE WATU WAZIMA HOVYO, MBONA WANAFUNZI WA KIBASILA WALIPIGWA MABOMU NA POLISI WAKIDAI HAKI YAO YA USALAMA HAMKULALAMIKA? MLIKAA KIMYA MKIONA NI MCHEZO WA SINEMA LEO MNAJIDAI MNAJUA KUTETEA HAKI NYIE NI WAPUUZI TU, MNASHINDWA KUTETEA WATOTO MNAMTETEA JIBABA LIZIMA LIALOSHIRIKIANA NA WAHALIFU.
ReplyDelete