Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Ludovick Utoh (kulia) akiteta jambo jana na Spika wa Bunge la Tanzania Samwel Sitta mara baada ya Ofisi ya Mdhibiti huyo kukabidhi msaada wa vitendea kazi Kamati Tatu za Bunge zinazojihusisha na hesabu vyenye thamani ya shilingi milioni 169.9. Picha na mdau Tiganya Vincent wa Maelezo, Dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wajomba mliowahi nifafanulieni: Ni vitendea kazi gani hivyo wamepewa? Ni Comps na programmes za accountings? Swali: Walikuwa wanatumia nini? Blackmpingo

    ReplyDelete
  2. naukubali sana utendaji wa kazi wa bwana utoh kwa kweli riport zake zote huwa makini.

    ReplyDelete
  3. Miongozi mwa wachapa kazi wachache sana nchi hii ni Bw.Utoh.

    Majority ya viongoi wanakula kodi zetu burebure tu.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...