(1919 - FEB. 24TH 2009)
LEO BABA YETU MPENDWA AMETIMIZA MWAKA MMOJA TANGU ALIPOITIKIA WITO WA BABA YETU ALIYE MBINGUNI TAREHE 24 FEBRUARY 2009 DODOMA MJINI.
UNAKUMBUKWA NA MKEO MDALA SOPHIA E. NGALYA, WANAO BERTHA, AUDREY, JAMES, ELISHA NA EDWARD, WAKWE ZAKO WAJUKUU NA VILEMBWE WOTE. PIA NDUGU, MAJIRANI WOTE WA MAKOLE DODOMA.
UTAKUMBUKWA DAIMA KWA UPOLE, USHESHI NA UTANI WAKO.
PIA FAMILIA INACHUKUA NAFASI HII KUWASHUKURU NDUGU NA MAJIRANI WOTE WALIYOMHUDUMIA WAKATI WA KUUMWA HADI KIFO CHAKE. TUNAOMBA MUNGU MWENYE REHEMA ZOTE AWATUNZE NA AWABARIKI KWA YOTE.
IBADA YA KUMBUKUMBU YA KUTIMIZA MWAKA MMOJA ITAFANYIKA KANISA LA MAKOLE DODOMA TAREHE 27/2/2010 JUMAMOSI.
MNAKARIBISHWA WOTE.
MUNGU ALITOA NA AMETWAA.
JINA LAKE LITUKUZWE MILELE AMIN.
Rest in Eternal Peace MABUYA
ReplyDeleteAMEN
ANGELINA W.
RIP babu ngalya
ReplyDeleteHekima Puzo.
I realy missed you, Mabuya
ReplyDeletemama Gody
thx: babu!!
ReplyDelete