Ankal, Asalaam aleikhum...
Kwa heshima na taadhima, kwa kuwa blogu yako inafikia jamii kubwa sana, hivi basi ninakuomba uweke kwenye blogu kilio cha vijana wetu wanaotaka kuona matokeo ya mitihani yao lakini wanashindwa. Hii imesababishwa na tovuti husika (NECTA na MOE) kuwa na kwikwi (small bandwidth) kila mara matokeo hayo yanapotoka.
Nimekuwa nikifuatilia tangu mwaka 2007 na kilio ni hiki hiki, ni kama vile wahusika wanapuuzia au hawatilii kipaumbele huduma hii nyeti na muhimu kwa wakati mfupi sana lakini muhimu sana. Nimeandika kwa kirefu kwa kukereheshwa na tukio hili, pengine tukiandika sana kuna mwenye akili mmoja atakayesoma na kuelewa kero hii na kuifanyia kazi kwani inawezekana kabisa kutatuliwa. Atakaye kusoma linki ni: http://bit.ly/crPq1v
Senkyu vere vere!
Subi
Senkyu vere vere!
Subi
Nimeitembelea tovuti ya NECTA wala sikuona tatizo. Speed yake sio mbaya. Sijui labda kwa sababu nimeangalia nikiwa nje ya nchi. Pia jaribu kuangalia speed ya internet unayotumia inawezakana ndio iko slow.
ReplyDeleteOn the other hand why should the names and results of each student made public? Hivi bongo hatuna privacy law? Or if we have, have these students consented for their results to be made public?
Anonymous wa 07 Feb. saa 07.33 PM naona unachemka tu, privacy ya nini.
ReplyDeleteI have also visited the site and did not have any issues with speed. However, one thing that I did not like is to have student names being displayed publicly with their grades. I recommend that NECTA remove the names and have a way to query the database using PIN and password. So that the result will be visible only by student themselves. Things like school statistics are acceptable to be made public, not my grades please....
ReplyDeleteWadau, nakubali fika kuwa tovuti inakuwa on na off na pale inapokuwa off ndiyo kimbembe kinakuwa kikubwa. Nimepokea malalamiko toka kwa watu wapo kona tofauti za dunia hii (USA, Sweden na Tz), mtu akitaka kuthibitisha, tumia tovuti hii wasitup.com itakufahamisha muda tovuti inapokuwa down na imechukua muda gani kuwa on.
ReplyDelete