siku hizi mambo ni mswano kwa wanaosafiri kwenda zenj kwani kuna lounge mpya imejengwa kwa ajili yao wanaposubiri boti.
viti na masofa kwa ajili ya wasafiri wa zenji
kaunta za kisasa
kila mwenye tiketi anajipatia vinywaji na vitafunwa bure...




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Inapendeza namna hiyo lakini kuna uchafu karibu na eneo hilo wajaribu kuweka mazingira safi.

    Mdau Kerala-INDO

    ReplyDelete
  2. kesho kutwa kutajaa maembe na manyanya na mabilinganya,hadi kwenye viti,ila amejitahidi hata ulaya sijaona labda Airport

    ReplyDelete
  3. Kusema kweli Azam Marine big up, tupongezane kwa mazuri mtu akifanya,na kwa hili big up sana,na sisi abiri wa azam Marine tumunge mkono zile tungule na vitoweo vitu tuvifunge vizuri ili nasi kwetu kuwe kuzuri si kila siku kusema aah ulaya ama Dubai bomba si kama hapa.

    ReplyDelete
  4. Very Nice!! Je, hii ni kwa ajili ya wasafiri wa AZAM tu au hata boti nyingine?

    ReplyDelete
  5. Safi sana,tunahitaji vitu kama hivi na isiishie hapo tuangalie na stendi kuu ya mabasi Ubungo

    ReplyDelete
  6. Mkuu umesahau free WiFi internet, looks better than Zanzibar International Airport!

    ReplyDelete
  7. jamaa huyu ana strategy nzuri sana...huyu ndio mfanya biashara mzuri...unavuna..unapalilia...sio kama wengine..keep it up BAKHRESA

    ReplyDelete
  8. Hivi Watanzania kwanini hamuezi kusifia kwenu? kama nyinyi ma commenter wa kwanza na wa pili ni lazima mueke kitu cha kijingajinga kwa nini hamuendi shule hata za kiutu uzima ili mjue jiinsi ya kujieleza au ni nini cha kuandika? azam ameshajenga sasa na wewe pia ni wajibu wako kama kweli unaipenda nchi yako kusaidia maswala ya uchafu kama kila mtu atafanya hivyo nchi itakua safi, siyo kusema tu oooh kesho kutakua pachafu,,,, ooh nje ni pachafu,, wakati wewe ndo ulotupa ganda la ndizi hapo nje pumbavu nyie mnajua kuponda tu hamjui kusifia.... ngedere nyie wawili...

    ReplyDelete
  9. thr place looks great keep it up azam.hii ni kuwa serious na biashara watalii wanaoenda zenj at least wanapata kitu wanadeserve na utalii unakuwa kwa kasi sasa with globalization lazima tuboreeshe. changamoto kwa wanaosafirisha watu sasa kwa boti na hata mabasi ya mikoani sio favour bali wasafiri tuna haki ya kukaa mahali safi sio mnakusanya hela hamtuwekei mazingira safi na mazuri kama mmeshinswa kuboresha fungeni biashara

    ReplyDelete
  10. Sijui ni Mhindi au Muarab, lakini to be honest kati ya wafanyabiashara wakubwa wa kiasia hapa Tanzania huyu jamaa ndiye pekee ninayemkubali. Nakuatakia kila la heri wewe kweli muislam, unajali watu kila kada tena kwa umuhimu na ubora. Labda kuwakumbusha Bakhresa ndiye mwenye AZAM FC, Unga Bora wa AZAM, Maji, Iceream bora kama tupo Ulaya and so many sweets and cookies. Kwa kweli nakuadmire sana. Keep it Up. Sasa Mafisadi waache kumbughudhi maana hawakawii. Natoa Hoja

    ReplyDelete
  11. Mie navyojuwa Asilimia 90 ya ma Boat kwenda ZNZ yote ni ya Bakharesa AZAM. Hiyo ya Kula Bure ukiwa na Ticket ni Mwanzo tu itakuja kuisha Soon.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...