mdau Severine Patrick na mai waifu wake Magreth Kikudo wana kila sababu ya kutabasamu baada ya kumeremeta jana kwenye kanisa la St. Joseph jijini Dar
maharusi na wapambe wao
Fr. Benno Kikudo, ambaye ni kaka wa bi harusi akiwameremetesha
ni wakati wa pete
Chakula cha Bwana
Fr. Benno Kikudo akisimamia zoezi la utiaji saini kwenye daftari la ndo






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hongereni maharusi na karibuni ktk maisha ya kuvumiliana ktk shida na raha

    ReplyDelete
  2. Hongerani Bi na Bw. Harusi. Mungu abariki maisha yenu. Mzee Kaka wa Wazaa Chema Ukoo wa Kikudo padre Beno lete Kanyanga Lubuga nasi hapa Kilosa tupoze makoo baaada ya mafuriko.
    Kila la heri na Baraka.
    Mdau; Kibaoni Kilosa

    ReplyDelete
  3. Hainihusu ila kichwani / vichwani kulishehena.

    ReplyDelete
  4. aliempaka poda afukuzwe kazi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...