ANKAL NI MATUMAINI WANDELEA VYEMA NA LIBENEKE LA BLOG YETU YA JAMII, PIA NIKUPE PONGEZA KWA KWELI UKO JUU.
LEO NAOMBA TUUNGANE NA WATANZANIA WANAOTAKA KUONA MAJIBU YA KIDATO CHANNE KUPITIA LINK HII
wadau tuko pamoja
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante. Mbona nimejaribu kufungua Results Form Four 2009 haifunguki? Tatizo nini?
ReplyDeleteHizo tovuti zinazohusika na elimu (MOE na NECTA) tayari zina kwikwi, zimepungukiwa bandwidth. Nimeudhika sana hadi nimewasema vibaya hao wahusika kwenye posti hii hapa:
ReplyDeleteTovuti yenye matokeo ya mtihani kidato cha nne mnatia aibu na kuchefua
Ohoooooooo Mwanangu pesa zote namtumia kutoka US AND A napiga Box Over Time kwajili yake Haja Pass? Simlete kusoma huku kama hajasoma huko sijui kama atasoma huku. Ngoja nimtumie Camera awe mwana Blog. Kimaro.
ReplyDeleteJana nilibahatika kufungua matokeo ya shule moja tu kupitia blog ya Father Kidevu, nilipotaka kuendelea iligoma hadi leo.
ReplyDeleteAsante uliegundua kuna mapungufu yakiufundi maana nishadhani nachemsha.
Ni aibu sana kwa wahusika kwa kutorekebisha mambo muhimu kama haya najua.