Mkuu wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (SJMC) Dkt Bernadeta Killian ( katikati) akisisitiza jambo leo jijini Dar kwa waandishi wa habari huku akiwa ameshika chapisho la jarida la kitaalum la Scribes liloandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT) . Kushoto ni Rais wa MCT Jaji Robert Kisanga na kulia ni Meneja mapachisho wa MCT John Mireny.
Mkuu wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (SJMC) Dkt Bernadeta Killian ( kulia) akizundua jana jijini Dar es salaam jarida la kitaalum la Scribes liloandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT) . Katikati ni Rais wa MCT Jaji Robert Kisanga na kushoto ni Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga.
Mkuu wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (SJMC) Dkt Bernadeta Killian ( kulia) akionyesha machapisho ya majarida mbalimbali baada ya kuyazindua jana jijini Dar es salaam yanayohusu tasnia ya uandishi wa habari ambayo yameandaliwa na Baraza la Habari Tanzania(MCT) . Katikati ni Rais wa MCT Jaji Robert Kisanga na kushoto ni Katibu Mtendaji wa MCT Kajubi Mukajanga


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ni swali tu..kama mdau jina la kiswahili lilikosena kwa hilo jarida?

    ReplyDelete
  2. JARIDA LINATUMIA LIGHA GANI?

    ReplyDelete
  3. SCRIBE IN MAANA NYINGI TU MOJAWAPO IKIWA MWANDISHI WA HABARI = JOURNALIST LABDA WALITAKA KUMAANISHI WAANDISHI WA HABARI , NI JOURNAL KWA AJILI YA WAANDISHI WA HABARI, BUT THEY COULD FIND A SIMPLE NAME COMMON TO MANY, AND ASSOCIATED WITH OUR TRADITIONAL

    ReplyDelete
  4. Ttizo ni kwamba Wabongo bado tunathamini lugha za wageni. Tunafikiri kingereza ni maendeleo :)

    ReplyDelete
  5. Mbona viongozi wengine wanapovaa mashati hawapendi kuchomekea ndani? Kama ni Kaunda suit inaeleweka. Lakini vinginevyo ni mwaswali mengi kichwani

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...