Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Mh. David Jairo akizindua mkataba wa huduma kwa wateja wa Shirika la Umeme Tanesco ambapo wateja wa shirika hilo watahudumiwa na viongozi wa ngazi za juu wa shirika hilo siku ya Ijumaa. Mkataba huo una lengo la kuboresha hudama kwa wateja wanaotumia nishati ya umeme. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar leo.
Mh. Jairo akipungia mkataba huo kuashiria kuzinduliwa kwake


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HAHA KUMBE TANESCONI CCM NAMBARI WANI! SI WANASEMAGA VYOMBO VYA UMMA VISIHUSISHE NA SIASA SASA BENDERA YA CCM INAFANYA NINI HAPO?

    ReplyDelete
  2. we anony wa 10:00. hiyo ni rani ya Tanesco,kijani na njano! huonagi magari yao? kama ni hivyo basi yanga nao ni CCM

    ReplyDelete
  3. TANESCO-MAKAO MAKUUFebruary 03, 2010

    Mikataba mikataba ya nini?
    Sisi tunataka mkataba wa kuruhusu makampuni binafsi mengi yajae kama ya simu ili wananchi wapone tokana na ushindani sokoni.

    Nani tena anapanga foleni TTCL ili iweje wakati Zain na Togo na Voda n.k wanawakimbinza na bili za kubambikiwa hazipo tena?

    ReplyDelete
  4. nini?yani ijumaa tutakuwa tukifika ofisin mwenu tunahudumiwa na MABOSI?

    sijaelewa

    siku nzima jana no LUKU services ktk vituo vyooote sielewi na NO maelezo SHIT

    afu jamani ivi kwanini hamtangazi kwamba mgao wa umeme bado unaendelea asa kanda ya ziwa???maana umeme wakatika kutwa kucha no explanation u filthy dogs!!

    free market tunaitaji makampuni mengine ata 2 tu tuone km tutabanana tanesco

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...