Ankal,
Pole na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nimepata taarika kuwa ndugu yangu mmoja Ferdinand Msepa anatafuta contact details zangu.Basi naomba kupitia libeneke lako nimfahamishe kuwa anaweza kunipata kwa barua-pepe
Nimepata taarika kuwa ndugu yangu mmoja Ferdinand Msepa anatafuta contact details zangu.Basi naomba kupitia libeneke lako nimfahamishe kuwa anaweza kunipata kwa barua-pepe
mzalendomwananchi@gmail.com.
Natanguliza shukrani
Mdau,Scotland
Natanguliza shukrani
Mdau,Scotland
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...