Wadau,
namfuta jamaa yangu kwa jina la AUGUSTINO MALULI (WASIMILE), tuliachana miaka ya 1998 wakati akifanya kazi katika uwanja wa ndege wa zamani (terminal one). Tangu kipindi hicho hatujabahatika kuwasiliana hivyo nimeona nijaribu kuuliza kama kuna mdau yeyote anamfahamu. mara ya mwisho nilisikia amehamia buguruni ila sina uhakika sehemu gani.. Kama kuna mtu yeyote anayemfahamu au kuwa na mawasiliano na huyu jamaa naomba amtaarifu yeye au mimi kwa email hapo chini.
ahsante.
Mimi Mdau Edgar
edgarmalule@yahoo.com
ahsante.
Mimi Mdau Edgar
edgarmalule@yahoo.com
Ni mwalimu pale Lugalo Sekondari iliyopo Iringa Mjini. Kama amehamishwa ulizia aliko sasa. Anuani yao ni S.L.P 145, Iringa.
ReplyDeleteUkimpata mshauri aoe sasa maana umri wake umekuwa mkubwa na kila anposhauriwa kuoa anakataa.
nashukuru sana Mwl. Kijiko. nitajitahidi kumtafuta maana kwa sasa niko nje ya nchi. nitaangalia kama wana # ya simu kwenye google then nitapiga nione kama bado yupo apo. inaonekana ndo mwenyewe maana yeye ni mtu wa iringa pia.
ReplyDeletempigie 0712361222
ReplyDelete