Kamwano Sabuni (shoto) akiwa na
mama yake wakati alipokuwa hai
Ndugu Kamwano Sabuni anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mpwenda Asha Juma Waziri, uliotokea leo saa tisa alfajiri tarehe 13th February 2010 katika hospital ya Hindu Mandal Dar-es-salaam.

Mazishi yanatarajiwa kutafanyika huko Tabora na safari itaanza kesho tarehe 14th February 2010 alfajiri . Msafara utaanizia sinza kwa mjomba wa Kamwano Sabuni

Kwa mawasiliano zaidi mpigie Kamwano kwenye number hi +255776279327
na mkewe kamwano ambea yuko London anapatikana kwenye no hizi +44 (0) 7960 007521, +44 (0) 7404 266658.

Pia kwa anaetaka kutoa mchango wake au
rambi rambi zake tumia bank details zifuatazo, Bank details:

Bank Name:- Natwest
Address: 104-110 Fore Street
Upper Edmonton
London
N18 2XA
United Kingdom

Account Name: Samira S Baamar
Sort code 60-07-32
Account No. 47112999
IBAN: GB62 NWBK 6007 3247 1129 99
BIC: NWBK GB 2L

OR
Bank Name:- Barclays
Address: 6 market Square,
Waltham Abbey, Essex, EN9 1DN

Account Name:-Samira Baamar
Sort Code:- 20-29-81
Account No. 50978035
IBAN:- GB47 BARC 2029 8150 9780 35
SWIFTBIC:-BARCGB22

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Inna lillaahi wa inna ilaihi raajiuun. Mwenyezi Mungu ampe bibie kauli thabit na makazi mema peponi, amin...

    ReplyDelete
  2. R.I.P...poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu:ANGALIZO..."Kamwano Sabuni(shoto)akiwa na mama yake wakati alipokuwa hai":correct me if im wrong pls... MIMI NILIFIKIRI BASI ALIEFARIKI NI KAMWANO KUTOKANA NA HAYO MAELEZO,AU KISWAHILI CHETU BADO HAKIJITOSHELEZI MANAAKE HAKINA "she" WALA "he" HAKINA "her" WALA "his" ukiongea wee unaburuza tu bora liende

    mdau Kambi ya nyani.!

    ReplyDelete
  3. pole dude
    kibohehe man

    ReplyDelete
  4. Poleni sana Kamwano na Sameera mwenyezi mungu amlaze mahali pema peponi.

    Amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...