mama wa mitindo asia idarous-khamsin akitambulishwa na MC Joketi Mwegelo wakati wa onesho la mmavazi la Lady in Red lililoandaliwa na Fabak Fashions usiku wa kuamkia leo na kuhudhuriwa na mamia ya wadau wa fani hiyo. Jumla ya wabunifu mitindo 16 walionesha vitu vyao pia.
mamodo wakiwa katika lady in red ya fabak fashions
mamodo waki-jive stejini
asia idarous-khamsin na mwenyekiti wa fabak
fashions khamsin alkaag wakiwa na mamodo stejini
mwenyekiti wa fabak fashions khamsin-alkaag
na asia idarous-khamsin wakijitambulisha
elizabeth gupta, mshiriki wa big brother III akiwa
mmoja wa waliopokea zawadi toka kwa wadhamini Redds
mwenyekiti wa fabak fashions khamsin alkaag
akitoa cheti cha shukrani kwa bosi wa kampuni ya nywele ya Darling
mbunifu mkongwe Manju Msitta na khadija
wanamboka wakipokea vyeti vya ushiriki
mbunifu anayekuja juu kwa kasi francesca akiwa na cheti cha ushiriki
khadija mwanamboka akimkabidhi mama
aliyenunua nguo iliyopigwa mnada ili kusaidia watoto
yatima wanaolelewa na tanzania mitindo house
ali rhemtullah akimuandaa modo victoria martin
kadamnasi
palikuwa hapatoshi
wadau toka kila pembe walikuwepo
wadau wakifuatilia onesho
mdau wa St. Louis alikuwepo kuwakilisha
baadhi ya wadau waliohudhuria
globu ya jamii ikiwakilishwa
wadau toka mji kasoro bahari walikuwepo pia
elizabeth gupta, mdau na rita paulsen wakiwakilisha
mikonozzz ilikuwepo katika after party iliyofanyika savannah lounge

























Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 32 mpaka sasa

  1. Mdau, MalaysiaFebruary 07, 2010

    Hongera Asia!!God bles yo work..mh wasichana wa Bongo wapo juu...Bongo ka NY vile..
    n aahhh..Madam Ritha,such a classy woman indeed!!love her to bits..a hot mama!!

    ReplyDelete
  2. aaah nimeona jini

    ReplyDelete
  3. Michuzi huyo dada uliempa konoz picha ya chini kulia mhh!! sina la kusema

    ReplyDelete
  4. kaka nchuzi kakamatwa na simba!

    ReplyDelete
  5. Ankal, huyo ni nani mwenye rangi machoni? Ni miongoni mwa modol? Ah, Ankal, nilitaka kukimbia nilidhani ananitishia? Ankal, una moyo, eh, hata woga kidogo? Nakuona konoz maabegani!!!!!

    ReplyDelete
  6. Ankal nakusemelea na hilo konozz karibia na nidozz mweh! taratibu

    ReplyDelete
  7. du woooote wametoka bomba kasoro dada wa mwisho kwenye konoz... du anatisha kama tetemeko la ardhi.... nice boob lakini anatakiwa ajijulie namna ya kuvaa na rangi....

    ReplyDelete
  8. hongera ankal,naona umekula konoz na mamodo wa kimataifa,uko juu ankal...

    ReplyDelete
  9. Jamni Fide unatafuta nini? Hujapendeza hata kidogo kama embe dodo. Sina zaidi.

    ReplyDelete
  10. Dada wa mwisho rekebisha uvaaji wako. Ukichukua hio rangi ya nywele na rangi ya kwenye macho basi mtu anaekuangalia anaishiwa hata maneno. Naimani bora ungebaki natural ungependeza kuliko hizo make up ulizotumia.

    ReplyDelete
  11. Kaka hizo picha za Mamodo wanaocheza Jaiv umekosea kuzichukua Kaka.

    Hizo ulitakiwa uzichukue huku umepiga magoti chini hapo mbele stejini Kaka.

    Hii hata Dogo kule MichuziJunia nilishamwambiaga

    ReplyDelete
  12. nampendaga sana victoria martin yuko juu

    ReplyDelete
  13. Aisee! Michuzi mi napenda sana upigaji picha wako yaani picha bombaaa hivi ukute onesho lenyewe hata halikuwaka ila bidii yako tu hongera sana picha zote zimetoka bombaaa kichizi kasoro hiyo yenye sura yako tu hiyo IMEUNGUA!!, kakupiga nani hassaa asojua kazi yake?!

    ReplyDelete
  14. Duuh huyo dada pembeni na hiyo mirangi kama X-mas tree kasoro majani

    ReplyDelete
  15. heheheeeeeeh!!!! aroo kaka hiyo picha ya tatu toka juu binti wa kwanza kushoto mstari wa mbele hiyo Pajazzzzzzz ni kivumbii..kudadadadadeki dah mwana pajazzzz imekwenda shule usipime hiyo kaka!!, mi nakupendeaga hapo tu, siku hizi hunitupi mja wako kaka. wadau jamani hebu na nyie chekini manake msije sema mdau wa pajazzz kazidi kuchachawa nyie wenyewe chekini pajazzzz ya mtoto huyo, mama yake na baba nakufa mie!!!!
    doh salaaaaaale, sasa hizi pajazzz mfululizo mbona zinataka kuyumbisha targets zangu?, manake nilishadevelop interest kwenye pajazzzz za juzi za sherehe ya Redds sasa hii kidogo inataka kuleta utata hapa manake inanishawishi nifanye reconsideration ya decisions na maamuzi niliyokwisha karibia kuyachukua...mc nae naona katulia c'mchezo. kaka nifikishie salamu zangu waambie mzeee wa pajazzzzzz uzalendo unanishinda nakaribia kudondoka bongoland kuangalia possibilities za kumiliki pajazzzzzz permanently.
    ankal senkyuuuu veremach umentoa kiaina kaka.

    ReplyDelete
  16. picha ya mwisho uncle michuzi si bora umwambie huyo dada ajaribu kufunika kidogo?!

    ReplyDelete
  17. jamani Fide.....ni nini....usipake ivyo make-up...kweli hupebdezi.....sikiliza ushauri wa watu...kwako wewe lipstick inatosha....swala la nguo tafuta nguo zinazokwenda na umbo lako...hapo utapendeza sana...fata ushauri wangu.

    mdau Stockholm.

    ReplyDelete
  18. mmh no comment

    ReplyDelete
  19. MWACHENI TENA MKOMENI JIRANI YANGU FIDE IRANGA!!! Fide mama keep on hao ndo haswa wanataka kusutwa na MATARUMBETA!!!! Wapi Dina Marios.

    ReplyDelete
  20. Ni boxing bag ama nini?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  21. Jamani Mithupu hiyo picha ya mwisho sijui ni dada yako umefanana naye!

    ReplyDelete
  22. kaka mithupu, athante sana kwa kutupa starehe za bongo, tunahisi tupo bongo yetu, endelea kutupa mavituuz km haya, ila huyo dada Fide! kwa kweli ni kituko! mwili wake ni mkubwa sana, hivyo ajaribu kuangalia nguo zinazoendana naye! pia rangi yake na hizo rangi make-up sisemi! mwanangu kaangalia hiyo picha eti analia!

    ReplyDelete
  23. Fide jamani sasa ndo nini hivyo?

    ReplyDelete
  24. hapo mambo yalitoka mswano ankal full mvutoo ila kwenye konozz na fide mh! utafikiri anafanya comedy yani mirangi usoni kama maua mwitu hivi hakui tuuu? ebo!

    ReplyDelete
  25. hahhahahahaaaaa uwiii hahahahhaaa

    konozzz tu mie ankal una visa wewe?yani katika pozi zooote ukaamua kuchukua iyo chini?hhahahaaaa

    mwee we dada mwembamba pembeni mwa ankal nakufananisha

    ReplyDelete
  26. jamani hili ni jini?shetani?nsyuka?au?jamani nadhani fashion kila mtu anapenda ila sasa kinachotakiwa ni kuangalia aina ya fashion na mwili wako then ndio ufanye maamuzi.kama ingekuwa mimi ni fide ningeweka rangi nywele kama alivyoweka,nisingepaka marangi usoni wala ktk mashavu.na ningepaka lipstick au ningepaka wet lip tu.lkn huyu dada hajijui kabisa ilimradi kaona fulani kapaka make up basi nayeye anapaka.nadhani hana hata rafiki wa kweli manake mimi kama mimi siwezi kutoka na rafiki kama yeye.manake kila mtakapopita mwaonekana cartoon.fideline badilika dada kuwa simple utapendeza yaelekea unapaniaga sana kukiwa na mtoko basi matokeo yake kila unachokiona ktk make up kit yako wataka kiingie usoni mwako.utakuja pata kansa bure.kama una enterest ya kuigiza nenda kaigize kama nsyuka.

    ReplyDelete
  27. duh!hii picha ya kwenye konoz,nilijua ni Mwajuma ndala ndefu wa ze comedy!kaazi kwei kwei

    ReplyDelete
  28. Tee hee, nimikuona kaka na sasa ninasubiri kifuta jasho (umenielewa!!!) lol.. (dRU)

    ReplyDelete
  29. kweli hii nsyuka...Lol!

    ReplyDelete
  30. kaka, huyo mwanamke ni mtanzania ama, da hiyo sura si mchezo bwana

    ReplyDelete
  31. mbona mavazi yamefanana nam hiyo
    duu

    ReplyDelete
  32. kwa kweli fide ni mzuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...