Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. GO AHEAD SISTA!! THAT KINDA STUFF WE WANNA HEAR! MSINGAE IKAWA AFRICAN HEAT ONE DAY ONLY BECAUSE SHE USE ENGLISH. NYIE MTABAKIA NA EAST AFRICAN CELEBRITY MPAKA MATAKO YAOTE SUGU!!KAENI TU NA KISWAHILI CHENU!!

    ReplyDelete
  2. hii ipo kama Mr. Politician hivi...
    ipo poa sana, eti huyu Sauda alikuwa mtangazaji?
    kama nimeshamwona kwenye luninga akitangaza au labda nduguye?

    ReplyDelete
  3. global crisis..
    electricity crisis..
    maji crisis...
    housing crisis...
    population crisis...
    haki zetu crisis...
    sisi maskini tufanye nini? yote crisis

    kazi nzuri sana dada, wimbo mfupi hauchoshi message ipo clear. Nilikuwa nategemea nyimbo zako kuwa na hadhi kama yako, hii nyimbo ni ya kisomi sana grammer nzuri, mashairi ya kiutu uzima na video ni ya kiasili/kitanzania

    award za kimataifa zinakuja lazima ushinde kwa wimbo huu.!

    ReplyDelete
  4. WIMBO NI MZURI, UNAFAA KWA SOKO LA NJE HASA AMERICA (USA NA CANADA) NA ULAYA, JAPAN, SOUTH AMERICA NA BONDENI. hii nyimbo iko international

    ReplyDelete
  5. Nice hit! Nyimbo za kiutu uzima.. Keep it up Saida.

    ReplyDelete
  6. Kijana wa zamaniFebruary 02, 2010

    Ukiacha kwamba umri wa Sauda umeenda wimbo ni mzuri kwa sababu ya message iliyomo. Na kwa umri wake unafanana haswa na wimbo wenyewe. She is multitalented. Ila anahitaji make up ya kisanii. She is too plain.

    ReplyDelete
  7. WIMBO MZURI SANA ILA NI MPAKA UELEWE dunia inakokwenda ndio utajua uzuri wa hii nyimbo,
    Dada Sauda yaani wewe ni mfano wa kuingwa,sema tu tayari jina model role wangu ila ki ukweli huwa nakuadmire sana,hujui tu lakini nakukubali kupita kiasi kwa vision yako.
    Hongera sana kwa nyimbo nzuri kama hii maana unauza global au sio tu kuuza bali unasikilizwa global.
    pamoja kwa sana!!!

    ReplyDelete
  8. WIMBO MZURI LAKINI KUUZA NJE ESPECIALLY USA NI NDOTO. IVON CHAKACHAKA HAKUUZA USA WALA BRENDA NA WALIKUWA NA SAUTI NZURI NA SOMETIMES WALIIMBA KINGEREZA. TATIZO NI KWAMBA WENZETU HATA TUKIONGEA KINGEREZA KUELEWANA SHIDA KIDOGO ITAKUA KUIMBA. THAT'S THE POINT..MFANA YOU R MY AFRICAN QUEEN IS GOOD SONG LAKINI HAIJAUZA AMERICA, HAWAELEWI ANACHOKIIMBA KWA AJILI YA ACCENT. SAUDA ATAUZA AFRICA SIO MTONI TUSIPEANE MIOYO YA KIZUSHI.

    ReplyDelete
  9. Woow Kijana wa zamani my ass... What has AGE got to do with anything? Huwezi kusifia mtu hivi hivi.... Duh! Age is nothing but a number!!! nenda na wakati.
    SAUDA does good at almost everything she pursues.... in fact she EXCELS......BIG UP love.... Show them what QUALITY music is about sistah!
    Waiting for International recognition and awards.... your Biggest FAN. Belinda.
    MIss you girly....
    XXX

    ReplyDelete
  10. SAUDA AMEPITA KATIKA MAKE-UP ZA KISANII ZA AKINA BEYONCE AU LADY GAGA, YUKO KATIKA LEVEL YA AKINA LIONEL RICHIE I DONT MEAN SINGING LEVEL, I MEAN UTU UZIMA WA KUJIHIFADHI, NYIMBO ZAKE ZIKO KATIKA HALI YA KIUTU UZIMA KAMA ANGELINA KIDJO, SAUDA NI MTU WA KUTUNGA NYIMBA ZA KUIMBWA KWENYE GHAFLA ZA KIKUBWA KAMA ANAVYOFANYA KIDJO NA AKINA RICHIE, CELINE DION AND THE LIKE, SOKO LA SAUDA NI LA WATU WAZIMA NA WANAOELEWA MAMBO SI LA BONGO FLAVA.

    ReplyDelete
  11. Keep it up, kazi nzuri na ujumbe unaeleweka Hongera sana we hope there is much more to come.

    ReplyDelete
  12. Neat



    (US Blogger)

    ReplyDelete
  13. Mimi sio mtaalamu wa muziki lakini mwimbo haujakaa ki-jazz jazz vile. Hata hivyo wimbo unaleta burudani. Nimefurahishwa na msanii alivyojitahidi kuwa na mwonekano wa mwananchi wa kawaida aliyeumizwa na kranchi.

    ReplyDelete
  14. Anon wa Feb 02 09.40 Make up ni uamuzi wa mtu. Kuna watu hawapendi kabisa kutumia hizo make up. Endapo atazipaka hata "confidence" yake inaweza kushuka sana maana atajiona kama muonekano wake mbele za watu unamnyima uhuru.(Kuna watu anakuwa huru akiwa na uhalisia wake na anapenda aonekane hivyo.) Z

    ReplyDelete
  15. Good stuff, but I am completely confused - is she the same lady who worked as a newscaster with a local TV station back in the '90s? If she is I will be encoraged to register for an audition on Hawavumi Lakini Wamo - again, with a local TV station.

    ReplyDelete
  16. mdau wa pili hapo juu ni kweli da' sauda alikuwa mtangazaji wa itv na alikuwa anatangaza english newz saa nne usiku ni mdada mmoja poa sana

    ReplyDelete
  17. wanaodai eti dada ajirembe hivi hawaoni message ambayo huyu ada anaileta? Global crisis na kjiremba kuna endana?

    watu tunapaswa kuangalia jambo kirefu badala ya kufyatuka na kubwabwaja, ebo!

    ReplyDelete
  18. Mwalimu MkuuFebruary 03, 2010

    Al Musoma! hata Thomaso aliambiwa na Yesu weka vidole vyako kwenye mbavu ili aamini kuwa kweli amefufuka.

    You don't need to have a PhD in atomic science to recognize a SUPER MULTITALENTED person like SAUDA.

    Kwa taarifa yako ana hold a Degree in theatrical performance, ni mwanahabari, afisa mahusiono - and I bet she can make a Superb Marketing and Promotional Director of any MultiNational Company.

    Huyu ni msanii aliyeiva, hafanyi kazi hovyo - kama unafahamu sanaa basi kuna vijana wanajaribu kufuata nyayo zake japo hamuwakubali nao ni Mandojo na Domokaya.

    SWALI TENA - MUSIC HUU TUNANUNUA WAPI?? Oh we wait for pyracy!! ah ah ha

    ReplyDelete
  19. Mbona mnamtaja tu kwenye utangazaji. Yeye ni maarufu sana kwenye masuala ya PR huko Barrick na Congo. Talents kibao, big up!!

    ReplyDelete
  20. Safi sana Sauda! Lakini umeleezea tu na kuonesha masikini hana la kufanya kutokana na mfumo kandamizi! Sasa kwa kuwa hakuna neno 'fight' katika nyimbo yako, toa nyimbo nyingine kutoa msukumo katika vita vya maskini! Fanya hima ukichelewa utasikia watu washaiba mawazo yako! Thanks sauda!!

    ReplyDelete
  21. Fantafabulous...amazing! Sauda, you got more than a beautiful voice...the verses and lyrics are just perfect, hongera sana na all the best in the game!!! Take control!

    ReplyDelete
  22. Wow ! thats great....well namkumbuka wakati yupo TBL na mimi nafanya kazi kwenye kampuni moja ya promotions...from her ideas wakati ule wala sishangai sana kumuona anafanya vitu vikubwa kama hivi! she is good ! guys

    ReplyDelete
  23. PIA NI MWANDISHI WA VITABU VYA LITARATURE YA WATOTO AMEENDIKA VITABU VINGI TU, AMESOMA TRINITY COLLEGE A SUB BRANCH OF UNIVERSITY OF DUBLIN, IRELAND, AMESOMA HUKO KITAMBO SANA WAKATI WANAISHI LONDON UK NA WAZAZI WAKE.

    ReplyDelete
  24. Wengi wameorodhesha vipaji vya huyu binti ila wamesahau kimoja. Alipata kuigiza kwenye Egoli (place of gold). Alipata nafasi hiyo baada ya kuwabwaga vinara wa uigizaji katika usaili uliofanywa na wazee wa sauzi wenye kipindi chao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...