waliozaliwa Februari 10, Mwaka huu ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kusherehekea besdei ya kuzaliwa kwake
waliozaliwa Februari 10, Mwaka huu ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kusherehekea besdei ya kuzaliwa kwake
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Scolastica,mungu akuzIdishie rizki inshallah. Jamani huyu dada simfaham ila ni mfano mzuri wa kuingwa kwani riski ya mtu iko mkononi kwa mtu. Na mpaji ni mungu,pia kutoa ni moyo (we have to give back to the community )hususan nchi maskini kama tanzani ambako wananchi walio wengi wana kipato cha chini au hawana kipato kabisa. Kwakweli wanahitaji msaada. Akhsante kwa niaba ya uliowasaidia mw/mungu ndiye ajuae malipo yako.
ReplyDeleteMdau washington
MUngu akubariki Scola, wadau mimi nina moyo sana wa kusaidia watoto wenye mazingira magumu, na hutokea kuwa mara nyingi hunifuata. Nakwama mara nyingine kutokana na kipato na majukumu yaliyozidi uwezo. Naomba wenye nia kama yangu wanishauri au kujitolea kuchangia. Nitaweka wazi kwa jamii jinsi misaada inavyotumika. Naangalia zaidi wanokwama ada mashuleni na vyuo vya ufundi.
ReplyDeleteMsamaria mwema
heee we dada mbona wa pekee?jambo la kuigwa hili umenipa fundisho fulani
ReplyDeleteubarikiwe sana dada
Well done Scola, God bless you!
ReplyDelete