Meneja wa Programu wa Kituo cha Radio Times FM ya jijini Dar Scolastica Mazula akimuweka sawa mtoto mchanga alipotembelea wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Wilaya ya Sengerema, Mwanza, ambapo alitoa msaada wa nguo,nepi, sabuni na mafuta kwa watoto
waliozaliwa Februari 10, Mwaka huu ikiwa ni moja ya shamrashamra ya kusherehekea besdei ya kuzaliwa kwake
skola akisalimia mzazi na mwanae
scola na mzazi na watoto mapacha
ai jamani katoto kazuriiii





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Scolastica,mungu akuzIdishie rizki inshallah. Jamani huyu dada simfaham ila ni mfano mzuri wa kuingwa kwani riski ya mtu iko mkononi kwa mtu. Na mpaji ni mungu,pia kutoa ni moyo (we have to give back to the community )hususan nchi maskini kama tanzani ambako wananchi walio wengi wana kipato cha chini au hawana kipato kabisa. Kwakweli wanahitaji msaada. Akhsante kwa niaba ya uliowasaidia mw/mungu ndiye ajuae malipo yako.

    Mdau washington

    ReplyDelete
  2. MUngu akubariki Scola, wadau mimi nina moyo sana wa kusaidia watoto wenye mazingira magumu, na hutokea kuwa mara nyingi hunifuata. Nakwama mara nyingine kutokana na kipato na majukumu yaliyozidi uwezo. Naomba wenye nia kama yangu wanishauri au kujitolea kuchangia. Nitaweka wazi kwa jamii jinsi misaada inavyotumika. Naangalia zaidi wanokwama ada mashuleni na vyuo vya ufundi.

    Msamaria mwema

    ReplyDelete
  3. heee we dada mbona wa pekee?jambo la kuigwa hili umenipa fundisho fulani

    ubarikiwe sana dada

    ReplyDelete
  4. Well done Scola, God bless you!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...