Naomba uniwekee hii taswira ya miamba hapa Singida. Nimeipenda muonekano wake.
Mdau wa blog ya jamii.
Grace Mzengi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Stonehenge!!!!!http://www.stonehenge.co.uk/
    Wanyiramba na Wanyaturu walisafirisha mawe kama hayo huko UK, tembelea website hapo juu

    ReplyDelete
  2. Wow, Watanzania that is our gifted land full of natural beauty, we have to be proud with what God have given us and restore our land, twende tukawekeze na kuifanya hii sehemu kuwa kivutio kwa watariii, together we can make a different and thank you Ndg Grace Msengi for the beautiful catche.

    ReplyDelete
  3. Ama kweli mvua huko inanyesha mpaka mpaka chini ya miaka majani yameota !!!!!!

    ReplyDelete
  4. AHSANTE GRACE MSENG&

    ReplyDelete
  5. Stonehenge is probably the most important prehistoric monument in the
    whole of Britain and has attracted visitors from earliest times. It stands as a timeless monument to the people who built it.

    The stonehenge that we see today is the final stage that was completed about 3500 years ago, but first let us look back 5000 years.

    Wewe mdau uliyesema wanyiramba na wanyaturu walihamishia huko, usituvute masikio. Soma vizuri hiyo web, kumbe hata mifupa ya binadamu ilitumika kujenga. Asante kwa kufurahisha blog.

    ReplyDelete
  6. Songela sana dada Grace
    hayo ndiyo mambo mazuri tunapenda kuyaona. Natural beauty of our motherland.Karibuni Singida jamani, mafuta ya alizeti, kuku wa kienyeji, vitunguu na madini kibao!

    Msua Kitundu

    ReplyDelete
  7. Singida ni mji wa Wanyisanzu na Wamang'ati pia, Wanyiramba na Wanyaturu msitusahau japo tupo wachache

    ReplyDelete
  8. Singida iko juu sana sijui kwa nini imesahaulika. Sehemu nyingi za iramba zinanikumbusha majuu. Singida Oyee!

    ReplyDelete
  9. Duu! Hayo mawe ya mbele yamekuwa kama viungo vya uzazi vya kiume.

    ReplyDelete
  10. basi pale uwanja wa namfua pembeni kuna miamba mikubwa na mirefu sana , wanaita mang'ongo, basi kama kuna mechi idadi kubwa ya watazamaji huwa huko juu ya mawe badala ya uwanjani ndani, na view ni ya kufa mtu, nadhani huwa wanapata hasara sana, teh teh,

    ReplyDelete
  11. Jambo.
    hongera kwa nice photo ya Tanzania zaidi ya uijuavyo.

    Kuna hii idara or mamlaka ya mambo ya kale au utamaduni ningeomba wawe na mwamko wa kuweka mambo ya TZ vizuri, hebu jaribu ku google ; mbozi meteorite ana hoba meteorite uone TOFAUTI ni jinsi gani Tanzania hatujifagilii, tunaishia kulalamika. kiasi cha mlima KILIMANJARO hata KISWAHILI kuwa ni vitu vya KIKENYA ZAIDI!

    bd

    ReplyDelete
  12. hata mimi nilikuwa naangalia mechi nikiwa juu ya hayo mang'ongo ila view si ya kufa mtu kwani unaona wachezaji kama uko kwenye ndege, wadogo na hata huwezi kujua nani kafunga goli. Unashangilia tu kwa kufuata mkumbo wa walio ndani ya uwanja. LoL!!!

    ReplyDelete
  13. Kumbe kuna kivutio cha watalii Singida! Changamkeni!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...