wadau wa Bang! kaeni mkao wa kula.
Toleo jipya na la kwanza mwaka huu linaipuliwa jikoni karibuni.
Mwaka mpya, Mambo mapya na muonekano mpya!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Michuzi mimi ni napenda bang niko nje..lakini nimechikizwa na hiyo haeding HAITI IN CRISIS what can we do to help haiti??

    thats bullshit sisi wenyewe tunaomba misaada bado tunauwezo gani wa kusaidia Haiti, you do not even mention about kilosa??? our fellow tanzania suffering with the floods.
    typical tanzania kufata mkumbo sababu wengine wamefanya

    ReplyDelete
  2. Umesema kweli hapo maana "charity begins at home"akina haiti wana misaada inaingia kila kona...kilosa?ipo lakini sio ya nguvu.Tubadilike

    ReplyDelete
  3. kwako Anonymous wa Tarehe Tue Feb 09, 10:57:00 PM
    Kila binadamu ana haki ya kuamua anamsaidia nani usiwapangie watu mifuko yao. Pili HAITI WANAHITAJI MSAADA WA NCHI YOYOTE DUNIANI SABABU WAO NDIYO MASIKINI KUPITA NCHI YOYOTE DUNIANI.mafuriko ya kilosa yanaweza kuwa handled na serikali kama ingekuwa inataka na isitoshe m kufananisha issue ya haiti na kilosa ni sawa na kufananisha kifo na usingizi.halafu statement yako "Michuzi mimi ni napenda bang niko nje" kwani ukisema tu napenda bang bila kuongezea niko nje ujumbe hautakuwa umefika?

    ReplyDelete
  4. I ageena mdau wa Wed Feb 10, 12:39:00 AM... maji yanakauka

    ReplyDelete
  5. Ok, liko kwa njia laja - good news.

    ReplyDelete
  6. habari michuzi,

    mimi sijaona kuna ubaya Tanzania kuitangaza haiti kwa msaada, but ingekuwa vizuri kilosa kwanza maana ndo nyumbani, pili sijapenda kuwaweka blu 3 picha kuuuubwa then ray c mmeweka maandishi madogo hakuna picha hata kipisi, jaribuni kupenda nchi yenu bwana, wageni wanaponunua magazine watawasoma blue 3 na sio ray c,hata watanzania wenyewe wangependa wasanii wao wawe juu kama wa nje, wagand wao wameendelea sana tofauti na sisi,wamesoma wako juu kimuziki, so wainueni basi hata wetu kimtindo. me ni hayo tu! ila jaribuni kubadili cover lenu msituboe bwana mbona tz kuna wasanii kibao tu.

    ReplyDelete
  7. Anonymus wa Wed Feb 10, 09:08:00 AM
    Not just anyone anaweza kuwa kwenye cover. U need to have a story u know... na for ur information picha ya kwenye cover ni mvuto mtu na sio kuuza sura... this is business and nothing more. I don't hate na pia siwatetei Bang but keep in mind Coverstory siyo ya Ray C wala hao blue 3.
    Ukisoma vizuri utagundua cover inamhusu Tausi Likokola Mtanzania mwenye mafanikio makubwa katika anga ya mitindo...
    Kama hujalipenda lipotezee tu. Keep it up Bang Magazine We love you guys

    ReplyDelete
  8. Maji yanakauka sawa kabisa lakini nyumba zimebomoka, barabara vimeharibika , reli imearibika madaraja n.k watutakribani elfu arobaini hawana makazi.
    It was the right time to rise awareness about kilosa tanzania ni maskini tuu kama haiti zote ni LDCs. amerika ambaye ni next door supose to do alot sababu yeye anafaidika kuuza bidhaa zake hapo.

    wewe women achievment awards commttiee...need to rectify that

    ReplyDelete
  9. Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.Kilimo kwanza,Kilosa kwanza.PERIOD!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...