hii mambo ya kufuatana mpaka kwenye maghetto yetu noma. uhondo zaidi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. duh ndio zenyewe pamba zako faza.....dah

    ReplyDelete
  2. uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii ze fulanazzzz

    hahahaaaaahaaaaaaa ankal?

    ReplyDelete
  3. he he hee yani niliona kule kwa blog ya dina nilicheka hadi basi yani ningekuwepo eneo la tukio ningeianua laivu duh! mbona hiyo ya pink huvaagi?? hm pana mvuto ankal we acha tu

    ReplyDelete
  4. hizo nguo kwenye kamba zote zinafanana na zako fulanaz nyeusi na hiyo kauka nikuvae zote ni zako ankal hizo ni zako tuuuuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  5. Niliiona hiyo picha kwa Dina, yaani nilicheka kwanza story yenyewe huyo dada aliyekwenda kusutwa na shoga yake alipotoka resi kukimbia soo la kusutwa na matarumbeta. Nilikuwa sijui kuwa kumbe msutwaji ni mke wa ankal? Nasikia kaolewa juzi juzi tu na shoga alitaka arudishiwe microwave yake aliyoitoa kwenye kitchen party. Ankal itabidi umnunulie anti microwaven nyingine.

    ReplyDelete
  6. bro misupu mke huna baada kumuoa hata tena mashoga hahaahahaaaaa

    ReplyDelete
  7. ankal umeumbuka,mkeo mganda anataarifa kuwa ulikutwa na kasheshe ya kuvunja ushoga kwa mkeo mdogo?pole ankal mjini shule

    ReplyDelete
  8. KUMBE HAPO NDIO NYUMBA NDOGOOO.... MASHAKA EEH COMMENTS ZAKO MASHAKA..

    ReplyDelete
  9. HAHAH ANKAL UNAFANYA NINI GHETTO ZA WATU ISIWE MAMBO YA TERRY TU ANKAL LOL! ZE FULANAAAAAAAAAAAAAZ!!!!! JOKE TU KUFURAHISHA COMMENT JAMANI. ANKAL NAMBARI MOJA BWAWA LA MAINI OYEEE. PAZI.

    ReplyDelete
  10. mh! ndio unapoishi hapo au alizipiga picha kwa dobi

    ReplyDelete
  11. Halafu hii ya "buluu" inafanana ni ile ya michuzi.

    ReplyDelete
  12. Hahaha uuuuwii!!Du huo uchochoro mbona kama naujua. Ankal hapo ndiyo home nini? Ama kweli wewe ni mwananchi huna makuu hata. Mimi nilifikiri unaishi upanga au seaview. Hongera baba

    ReplyDelete
  13. Hapo ndo nyumbani kwa John Mashaka. Kwa hiyo huyo ndo mkewe amekuja kupashwa, makubwa

    ReplyDelete
  14. Kaka Michuzi, tukuundie katume?? the fulanaz!!!!!!!!!!! Aaaaaaahh, lakini kawaida tuu, Dar joto kalikuwa kamefuliwa! lol!

    ReplyDelete
  15. Dah! yaani second choice wa ankal ndo alosutwa?
    sasa microwave mwenyewe keshachukua, utapashiwa wapi chakula utaporudi usiku?!
    Ndo mwanzo wa kupata Typhoid!

    ReplyDelete
  16. haha zefulanaz kumbe zipo nyingi manake wadau wengine wanasema kauka nivae kumbe hawajui afadhali watajua sasa powa mdau wa ukanda wa wine stelenbosch cape town

    ReplyDelete
  17. wanakuwangia ankali noma next time kama toilet yako ipo wazi juu shauri yako hahaha

    ReplyDelete
  18. Masupu kama ni nyumba ndogo hapo umepatikana ujue unafuatiliwa pia. Huko ni tandika nini kunafanania na tandika au temeke hivi! mimi ninajua unakaa masaki kwenye mansion!!! Umefanya kabla sijazaliwa ilikuwa ninakusikia Issa Michuzi hata tulikuwa tunafanya utani unapiga picha kama Michuzi mpaka ung'oe majani! Hata kama ni nyumba ndogo itabidi uwapangishie kwenye apartments za nguvu wasikae uswahilini namna hiyo! Inamaana unaweza kwenda mitaani au mpaka uwe na ulinzi?
    Hapo wamekupata! hahahaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  19. Huyo bwana aliyemo ndani ya nyumba si bro Mithupu hata kidogo.
    Mie naonana na Afande Kova leo hii asipokuwa na risiti ya ze fulaanaaazzz basi cha Jerry Muro kita kuwa cha mtoto.

    ReplyDelete
  20. hivi bro michuzi huna t-shirt nyingi eeh?au waipenda ile moja tuu.mi nina wasi pengine unazo nyingi dizain moja au?

    ReplyDelete
  21. MICHUZI YASIWE MAMBO YA JOHN TERRY HAYO, BUSTANI NDOGO SIYO. NAWE KOCHA WAKO ASIJE AKAKWAPUA KITUMBUA CHAKO, NA MAMA AKIONA PICHA HII SI ITAKUWA NOMA MAANA TANZANIA NZIMA FULANA HII NI WEWE TU HAMNA MTU MWINGINE ANAMILIKI FULANA KAMA HIYO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...