Home
Unlabelled
ankal na wadau
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
who'z da curent best center foward in'z planet
ReplyDelete1.EL PIPITA GONZALEZ HIQUIN
2.ROONEY
3.VILLA
4.EL NINO TORRES
4.MESSIDONA
5.DOGRBA
Dini yangu inakataza kuwa karibu na wanawake hadharani, je nifanyeje?
ReplyDeletehiyo picha hapo juu ankal kabla ya kichapo na manu,manu juuuuu.
ReplyDeleteWe anonymous wa pili hama hiyo dini. Kwani wanawake ni wadudu? Si binadamu kama wanaume? Kwa nini usikae nao karibu?
ReplyDeleteWe ulizaliwa na panya nini? Basi kaa karibu na panya
amini usiamini i miss ze fulanazzz!!
ReplyDeletenyambafu ati usikae karibu na mademu vaa baibui !!
ReplyDeleteungeshusha konozzz kwa dadaa dotnata wee ankal vipi??
ReplyDeleteWewe anony wa Sun Mar 21, 06:42.00 PM sijakuelewa kabisa. Kwani MWANAMKE nisawa na nini huko kwenu? ama mnamchukulia vipi mwanamke? Wewe huna Mama? Shangazi? Dada?. Nyie ndio mkizaa watoto wa kike mnakasirika, mnanuna wageni wakija kumwona mtoto mnachukia...... Mwanamke kaumbwa na MUNGU kumnyanyapaa ni sawa ma Kumnnyanyapaa MUNGU. JIHESHIMU. Nanyori- A Town
ReplyDeleteKweli bwana tumeumbwa sawa tu mwanaume na mwanamke sawa ila wanawake wana tumbo la uzazi na tofauti nyingine ni kwenye Gadget za uzazi!
ReplyDeleteMZAZI.