

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Si mtoto wa nyoka, naye atakuwa nyoka. Mifano mingi, ni kijana wa mchezaji soka gwiji wa Ghana, Abeid Pele. Anakijana wake mahili sana na anakipiga pale pale Marseille alipokuwa baba. Wapo wengi, tu wa kutolea mifano. Natamani ingekuwa video ningesikia midundo hiyo!!
ReplyDeleteAnkol, tafadhali kama kuna uwezekano wa kupata video za huyo dada tunaomba tuipate nasi tuburuduke. Big-up sana!
mtoto wa simba ni simba tu,tena akitoa meno usifikiri heti anakuchekea...ukimsogerea atakutafuna
ReplyDeleteukipanda matembele utavuna matembele............anateleza...
ReplyDelete