(kulia) na wanenguaji mahiri wa bendi hiyo
waimbaji wa Twanga Chaaz Baba na Kalala Jr.
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu, AFRICAN STARS ENTERTAINMENT tupenda kutumia fursa hii kuwaomba radhi wapenzi wetu kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Ni kwamba kesho jumapili kwenye ile
"SUNDAY BONANZA"
Kiingilio kitakuwa sh 2000/= kwa kila mtu.
Tukiwa bado tupo kwenye maongezi na wadhamini wetu wakuu wa Bonanza hili, Ni matarajio yetu hali itarejea katika hali ya kawaida Katika wiki chache zijazo.
Karibu usugue kisigino na
TWANGA PEPETA.
Hii sasa ni hali ya TABIA NCHI haya tuone itakuwaje na zoezi hili.
ReplyDeleteJamani wamama wa ktz wazuri sana. Tupeane anwani basi...kwani wengine hatujaoa tungependa kupata wapenzi hapa....
ReplyDelete