JK akimkaribisha Ikulu jijini Dar Waziri mkuu wa Msumbiji Mh. Aire Bonifacio Baptista Ali leo mchana. Baadaye viongozi hao walifanya mazungumzo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jamani naomba kushauri! Huyo askari hapo nyuma sharti awepo hapo? Hebu tufikirie utaratibu mbadala kama wenzetu wengine! Kwa heshima nawasilisha!

    ReplyDelete
  2. whose that dude at the background with some army uniform?
    is he the presie's bodyguard?
    can he stay away while the presie is on photo shoot?
    looks abit unprofessional

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...