wa Julius Nyerere International Airport....
Ankal EEEEE!
Leo bwana mie nimewahi asubuhi 7.15am ili nisafiri na Precision Air ya 9.30am Am,checkin was 7.30 nimekuta ndege flght no PW 730 wamecancel mpaka jioni saa 3pm. Ikabidi nimpigie dreva wangu arudi kunifuata airport. Ah nao Precision basi si wangekuwa na utaratibu japo wa kutuma sms kwa wateja wao kuwajulisha canceletions? Ah hiyo nayo ni hadisi ingine
CHA AJABU-UHUNI WENYEWE
Kuingia na gari airport lazima ulipe Sh 500, hata kama unamshusha mtu/kupokea mtu.imelazimu kulipia mara mbili kunishusha na kunirudia after flight cancelation.uhuni upo pale katika ticket office ya Airport na watu wa gate la kutoka.nimelipa pesa nikapewa risiti ya mkononi,wakati computer zipo na zinafanya kazi,risit imeandikwa Sumbawanga Airport kama picha inavyoonyesha.
katika Exit Gate, nimekuta mtu anapokea ticket hizo na gate likiwa wazi,inakuwaje ukiingia gate linafanyakazi na hupiti bila risit,ila ukishalipa gate la kutoka linakuwa bovu,sasa hapa kuna ujanja na uhuni wa kuhujumu mapato,kwa ulaya,hata kenya and other serious airports, ticket inatoka ktka machine na ukilipa machine inavalidate muda na pesa uliyolipa ndo gate linafunguka.
sasa pesa nimelipa ,ticketi nimepewa ya mkononi kama daladala or parking za dar,mbaya zaidi ni ticket ya sumbawanga (lol) plus amount on receipt ni sh300!!
najua maboss wa wahusika wanapitia hii blog ya jamii,ningependa kupata their views,and kama ikibidi livaliwe njuga na wahusika ili tupewe huduma bora kama wanavyojitangaza. ni hayo tu kwa leo,mdau wa libeneke
mh!
ReplyDeletekoko bichi nyingine hiyo!
sumbawanga imehamia kipawa? ushaliwa.
ASANTE SANA MIMI SIKUJUA KUWA UWANJA WA NDEGE WA JKN UKO SUMBAWANGA KAMA RISITI ZINAVYOONESHA.
ReplyDeleteSI tatizo utaambiwa bei ni yazamani lakni mpya ni hiyo,hata mimi nilishinda american lottery na BARUA ikaandikwa natakiwa nilipe elfu 70 za medical check na isifike laki na 35,kwenda kwa doctor nilopangiwa nikaambiwa kila kichwa ni laki 5 na nusu ati karatasi ni za zamani wakati lottery ni ya mwaka jana,kupiga ubalozini nikatolewa utumbo hadi nimekosa safari
ReplyDeletehiyo nchi iuzwe kila mtu apewe hela yake akanunue kitu anachotaka full stop!! kwa nini wafaidi wachache??iuzwe tu hiyo
ReplyDeleteBONGOLAND HIYO, HAPA TUNAHITAJI TAKUKURU AU CID AU TUSAIDIANE?
ReplyDeleteOh my God!napenda sana blog hii,kaka michuzi hongera sana kwa kutuwezesha ,kujua mambo mengi yanayotokea sehem tofauti huko nyumbani.tunajifunza ,tunacheka,tunakasirika at the end life goes on.
ReplyDeleteShame on those people at the air port.ndo mnatuabisha kweli wa Tz wote.kama nivyolijisikia vibaya siku moja nipo job mtu ananiuliza where are you from?kwa kujivuna nikajisemea Tanzania kama kawaida yangu najivunia nchi yangu basi jamaa aksema,oh thats where they murder albinos.oh god!you can just imagine the way i felt.
mdau USA.
probably Ankal ufanye favour ya kuforward haya manyan'gunyan'gu yao yao kwa hao vibosile incase wakijifanya hawavisit blog ya jamii, hivi kweli tutafika huko waliko wanzetu? nchi za wenzetu zinang'gara kwa vijicent mchango kama hivi
ReplyDeleteParking za magari ni mradi mzuri sana kuufanyia ufisadi...watu huwa mnakuwa busy sana na magari yenu wakati wa kuingia na kutoka kwenye sehemu za parking (mjini, ubungo bus terminal, airport nk) huwa hamuaangalii risiti tunazowapa, nyingi huwaa zinakuwa feki, tunawapiga na changa la macho na haraka zenu!! hako kamchezo ndiyo kananiweka town, na mabosi zetu nao huwa hawatufuatilii sijajua kwa nini!!! sasa wewe mdau unataka kutuumbua! risiti feki kama hizo mbona nyingi sana, hata pale ubungo huwa zinatolewa sana!!
ReplyDeletewatu wengine wazembe kweli, na sijui kwanini umekuja kulalamika kwa ankal unataka yeye ndio aende akapiganie haki yako?
ReplyDeletetukiachana na sumbawanga,labda kiwanda kilichotengeneza hizo ticket kinaitwa sumbawanga, kwanini sasa baada ya kuona ticket ni mia tatu haujaleta varangati? ili kieleweke? we umetoa mia tano halafu unapewa ticket imeandikwa mia 3, halafu huyo unaondoka eti unakuja kulalamika kwa ankal ili iweje?. hapo hapo ungetaka kuonana na manager muhusika ili upewe maelezo kwa kina, bila ya kuwakalia kooni hao washenzi hakieleweki bongo.
UMEFANYA LA MAANA KUWEKA HII KWENYE BLOG.
ReplyDeleteLAKINI NATAKA KUULIZA MASWALI MACHACHE.
WEWE MWENYEWE UNAYETOA HII HABARI ULICHUKUA HATUA GANI BAADAYA YA KUONA RISITI ULIYOPEWA INA MATATIZO?
VIPI WEWE UNALIPA 500 HALAFU UNAPEWE RISITI YA 300 TENA YA SUMBAWANGA AIRPORT NA UNAKUBALI TU KIRAHISI?
JINSI HII ISSUE ILIVYO INA MAANA KWA NJIA MOJA AU NYINGINE UMESAIDIA HAWA JAMAA KUENDELEZA UHALIFU WAO.
TANZANIA KUNA MAMBO MENGI SANA YA KIJANGA YANAFANYIKA. NA KWA HALI HII MAENDELEO HAYATAKUJA KAMWE.
ReplyDeleteWEWE MTU UNASAFIRI SAA MOJA ASUBUHI HALAFU UNAAMBIA SASA SAFARI MPAKA SAA TISA JIONI.
THEN UNALIPA PARKING KWA RISITI FEKI.
NCHI INAKUWA KAMA HAINA SERIKALI NA VYOMBO YA SHERIA?
TANZANIA NCHI GANI HII JAMANI?
ReplyDeleteSAFARI YA NDEGE INAFUTWA BILA TAARIFA.
WATU WANAKUSANYA FEES KWA RISITI FEKI.
HII NDIYO MAANA WATU WENGINE WANATAMANI KUZALIWA ULAYA AU MAREKANI KAMA MBWA, HUKO MBWA ANAHAKI NA MAISHA MAZURI KULIKO BINADAMU WA TANZANIA.
watu wengine bwana!!!! sasa wewe yaliyomo yamo Unayesema ameliwa nani??? Tunaoliwa ni watanzania ikiwemo na wewe pia, japo tuliambiwa tukitaka kula lazima tuliwe kidogo lakini zis iz tu machi ghrrrrrr!
ReplyDeleteIngekua Nchi nyingine hii ni serious allegation. Lakini kwa Bongo kila kitu ni mswano.Ticket ni ya Sumbawanga Airport,Fees 500/= ticket inaonyesha 300/= wapi na wapi. Sitashangaa wakija na majibu hovyohovyo kwamba waliishiwa ticket.Baada ya hapo wataendelea na kazi kama kawaidia.
ReplyDeleteMimi sioni cha kulalamika hapo.Risiti kweli ni ya Sumbawanga na bei ni Tshs 300 lakini ukiangalia vizuri muhuri uliopo kwenye risiti unaonyesha Nyerere International Airport na bei Tshs 500, labda jamaa wailiishiwa tu na risiti wakaamua kutumia walizonazo baada ya kuzingonga muhuri, kama hukuridhika ungelalamika hapo hapo.
ReplyDeleteWadau hamjiulizi kwa nini mashine hazifanyi kazi zikiwa Tanzania lakini zinafanya kazi kwenye mataifa mengine? Kuna watu wanapenda vitiketi vya daladala hivyo kwa sababu ni rahisi kujichapishia uswazi.
ReplyDeleteHiyo ni raia wa chini sana mwenye njaa je? ni mabilioni mangapi hamyaoni yanaibiwa na walio juu??
ReplyDeleteAmkeni ndugu zangu.
Ex Tanzanian
Hahaha! mdau wa 1:57 unashauri nchi iuzwe bei gani na unauhakika ikiuzwa utapata mgao wako? nchi yenyewe wajanja wengi inaweza kuuzwa na tusipate chochote.
ReplyDeletejamani waulizeni waliowaajili hao watu wanawapa mshahara kiasi gani?mtapata jibu
ReplyDeleteWATANZANIA JAMANI TUACHE UJINGA NA UOUMBAVU PAMOJA NA UOGA KAMA UNA HAKI YAKO IFUATILIA IKIWEZEKANA HADI MAHAKAMANI, MMOJA HAPO JUU KASEMA ALISHINDA GREEN CARD NA BARUA IMEELEZA KIASO GANI ALIPE BAADA YA KUSHINDANA NA DAKITARI AKAPIGA UBALOZI WAKAMTOA UTUMBO NA SAFARI AKAIKOSA KWA VIPI? KWANZA GREEN CARD IKO VALID FOR ONE YEAR, UNATAKIWA UWE UMESHAENDA AMERIKA NDANI YA MWAKA MMOJA TOKA ULIPOPATA HABARI KUWA UMESHINDA, PIA KAMA BEI SI HALALI UNAO UHURU WA KUMUONA HADI BALOZI, NA KAMA BEI IMENADILIKA NI JUKUMU LA WATOA GREEN CARD KUKUELEZA SI DAKTARI. KWA MFANO UNAPOENDA UK KWA SIKU HIZI KWA MUDA UNAOZIDI MIAEZI SITA UNATAKIWA KULIPIA VIPIMO VYA TB NA HULIPII HOSPITAL UNALIPIA MIGRATION INTERNATIONAL HOSPITALI UNAENDA NA KARATASI TU YA KUONYESHA KUWA UMETOKA KWAO NA UNATAKIWA KUPIMWA MALIPO WANAJUWANA WENYEWE, WATANZANIA HII TABIA YA KUUMIZANA SISI WENYEWE ITATUFIKISHA PABAYA KUNA SIKU VITA ITAZUKA YA WENYEWE KWA WENYEWE KATI YA WALIONACH NA WASIONACHO KAMA HATUTA LI-ADDRESS HILI SWALA LA KUUMIZANAKUPITIA RUSHWA. RUSHWA NI HATARI SANA.
ReplyDelete