Wanachama wapya wa CCJ wakipewa kadi leo katika
sherehe rasmi ya kuzindua chama hicho kipya katika makao makuu ya chama mwananyamala jijini Dar
Mwenyekiti wa Chama cha Jamii (CCJ) Mh. Richard Kiyabo, akizumgumza na waandishi wa habari mara baada ya kuzindua rasmi chama hicho kwenye makao Makuu ya Chama hicho, Mwananyamala, jijini Dar leo
wanachama wa CCJ wakifurahia uzinduzi wa chama chao



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. WANA JAMII HAPO HAMNA CHAMA HAYO NI MAKUNDI YANAYOTUMIWA NA CCM KUVUNJA MAKALI YA VYAMA VYA UPINZANI NA KUWAGAWA WANACHAMA WAKE ILI WAPUNGUE ILI CCM ISHINDE KWA USHINDI MKUBWA.

    ReplyDelete
  2. ANKAL WA LIBENEKEZZZ WA MUSSAADA KWENYE TUTATAAZZZ WA ZE FULANAZZZ MZEE, NABII MTAKATIFU YOHANA JOHN MASHAKA YUKO WAPI BWANA? GLOBU AINOGESHI KWA SABABU MADONGO TUNAYOMURUSHIA KWENYE NONDOZZ ZAKE ZINA INTATENI SANA BANA. LETA ATA ATIKO ZA ZAMANI ZAKE NABII YAKEHEE. MBONA UNAKAA KA VILE WEWE SIYO MUTOTO WA MUJINI. AU NABII NDO ALIYESAJIRI HIKI KICHAMA CHA CCJ? KAMA NI YEYE BASI TUTAMPIGIA KURA WOTE WANAJAMVINI HAPA KWENYE BUROGU YA JAMII

    ReplyDelete
  3. Mwana CCJ LondonMarch 21, 2010

    NA SISI TUNAFUNGUA TAWI LONDON KUDADADEK !! PATAKUWA HAPATOSHI !!

    ReplyDelete
  4. Tawi London halafu baadae Ubalozi wetu, imekaaje ??

    ReplyDelete
  5. duu! unajuwa maaana ya CCJ.....ni (Chukuwa Cha Juu) hapo wizi tuu kwenda mbele yale yale tuu akun jipya.....rushwa tuu

    ReplyDelete
  6. Alfred MunishiMarch 21, 2010

    Hapa Nairobi Kenya
    Tumeanza mkakati, Tisheti 5,000 tunazo tunangojea kadi.
    Naona Demokrasia inazaliwa.....
    Tumechoka vyama pandikizi (CHADEMA,NCCR-MAGEUZI,TLP na CUF a.k.a Chama cha Udini na Fujo)
    Tutatia Timu mtapokuja Arusha kuzindua.
    Safari ya Ukombozi imeanza

    ReplyDelete
  7. Wadau naomba mnisaidie hayo makao makuu mwananyamala sehemu gani?kwa mama zakaria,B,A,ujiji,Kisiwani au wapi?Bongo mazuri nami nipo njiani kuanzisha chama changu wadau si mtaniunga mkono

    ReplyDelete
  8. mdau wa chukua cha juu (ccj) naumwa mbavu mieee uuwwiii wabongo mna mbinu acheni tuu

    ReplyDelete
  9. Sioni mtu yeyote serious hapo, ni yale yale ya CCM kuanzisha vyama vya kuzuga!!!!

    ReplyDelete
  10. We unayejiita Alfred Munishi kweli umefilisika kisiasa. Wewe ndiyo mdini namba moja na inveterate mpandikizi. Hivi zyama vinavyoanzishwa mwaka wa uchaguzi... Munisi (the real deal).

    ReplyDelete
  11. mbona sioni kiongozi hapo? au macho yangu!
    for the taim bing, vyama vya upinzani ni viwili tuu.
    zanzibar ni CUF, na bara ni CHADEMA.
    tuviunge hivi vyama viwili mkono viiadabishe ccm maana tumeichoka.
    miaka 50 baada ya uhuru bado tunazungumzia rushwa, maradhi, njaa, ujinga???
    rasilimali zetu zinakwenda wapi?

    kodi zetu zinakwenda wapi???

    ukienda hospitalini sevisi mbovu, barabarani foleni ni hektiki!!! mpaka kazi inakuwa chungu!!!

    ccm itoke madarakani.

    ReplyDelete
  12. hawa wanaonekana ni wazee wa viambani paseeeeee khaaaaa

    ReplyDelete
  13. ivi hapa daa suti ina kazi gani?ukipiga shati smat na suruali watu hawariziki kwani?sipati picha .kweli tz ni noma we huko nyamala joto kali mtu anakufa na suti alafu hao wavulana siji wanafurahi nin maana mda km huo wanatakiwa kuwa vibaruani na hao wadada ukute hata wanaunguza mboga jikoni........duh........we need a century to see the way foward

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...