Ankal naomba uwawekeee wadau hiyo
picha ni nzuri sana kwa siku ya leo, Man U oyeeeeeeeeeee.
--------------------
La kwanza refa kawapa penati ya uwongo,
Lingine Mkorea aliotea
si mmecheki wenyewe El Nino alivyowatungua kwa kichwa??
-Mdau wa Bwawazzzzzzz....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. I HATE MAN U ALSO I'M THE LIVERPOOL FAN.
    ANKAL kweli una mapenzi na liverpool ila bao la pili jamaa hajaotea kabisa yaani katoka nyuma na kuwapita mabeki wetu la kwanza no doubt kua wamepewa.

    MOTO LIVERPOOL.

    ReplyDelete
  2. poleni sana wadau wa bwawa la maini,ligi tebo haiongopi,ndio maana mko nafasi ya ngapi sijui!!!penati ya kawaida tu jifunzeni kukaba sio kuvuta jezi na mikono.

    ReplyDelete
  3. ANKAL pole sana, Ila naomba ukubali tuu, Man U chama kubwa,Visingizio vya nini mkuuu, bwawazzz mwaka huu hakuna kitu.Go man u go man u
    Mdau wa man u

    ReplyDelete
  4. usiseme la kupewa hao wanajulikana ni wazee wa marefaaa...bil marefa hoiiiii kabisa....ila sikuizi uweki mbwembwe kama mwanzo kwa kuwa mmedolola......liverrrrr ziii bwawa la figooo i hate man u kama simbaa ya tanzania Arsenal oyeeee...

    ReplyDelete
  5. SIMBA anapokuwa na njaa kumbe ndo anakuwa kama hv...Ndo mana jana katafuna wa2 Zimbabwe bila ya huruma.
    Kigogo Boy

    ReplyDelete
  6. Kila nchi ina timu za mbeleko. Uingereza kuna Man U, Tanzania kuna Yanga nk
    Hongereni Man U. Shida ya kuchezea mbeleko inakuja kwenye ukweli-continental tournaments.

    ReplyDelete
  7. haki ya nani manuuu inanifurahisha acheni tuuuuuuuuuuuuuu yani namisi home ushabiki wetu paleee q bar yani ilikuwa hatari huku hawajui haya mambo ya soka sema ujianglizie kivyako kwenye tv tena asubuhi vile tumepishana masaa lakini inanoga pia hasa namna hiiiiiii wewe manuuu wachape! wachape! wachape! siku zooote debe tupu haliachi kuvuma mimi na manuu mpakaaaa mileleeee
    manka wa canada

    ReplyDelete
  8. Kaotea wakati alikwenda na sambamba na buti la johson, una matege ya macho wewe. Goli la kwanza ilikuwa ni penalt halali check vizuri, tatizo watu mnacheck soccer kwa kuchungilia kwenye madirisha ya jirani or uko bar tv ipo mile kadhaa toka ulipo. Kuna team inyopeta kama Man U kwenye continetal? the last 2 eufa champion league final ndani ya nyuma, na mwaka huu hakuna wakutuzuia

    ReplyDelete
  9. Goli la pili safi ila la penalty halikuwa halali, tatizo lilikuwa nje ya box refa kajifanya hajaona akaamua iwe hivyo. Pia kuna jamaa wa liva alipandwa juu ya kichwa kwa mguu refa akapeta!!!

    ReplyDelete
  10. Rose muhando UNITED....NIBEEBE NIBEEEBE, NIBEEBE NIBEEEEBE NIBEMBELEZE NIBEEEBE..........,
    Mdau chiggs

    ReplyDelete
  11. Hivi wewe uliesema u hata Man u nani aliyekwambia wanakupenda vipi wewe? Halafu mie nawashangaa Man u wakifunga ohooooooo wamebebwa sasa mtu anabeba mtu kutokana na anabebeka sasa utambebaje mtu ambaye hawezi kubebeka. semeni yoote mwisho wa siku kombe letu, hivi hamchoki kila siku mnaisema Man u wenzenu wanapata maendeleo nyie mnazidi kusema hivi kwanini msiangalie wenzenu kwanini wanamaendeleo mkaiga. Pole zenu na wivu wenu.
    Liverpool fan

    ReplyDelete
  12. ....kweli OLD TRAFODISH is always there jamani.........mtu kafanyiwa faulo katikati ya dimba........refa katenga penati.........goli la pili NGURUWE a.k.a RUN kamshika caragher refa kapeta mchina kipiga kichwa cha utosi goli........HOWARD WEBB kama anavojulikana dunia nzima ni shabiki wa MANU so mechi ya nyumbani kwao against any team he will ensure the victory to manu..........keep it UP WEBB and manu fans..........

    ReplyDelete
  13. don panic ankal it was 14men against 11men... thats why they have won... inekuwa italia ingeundwa tume kuwachunguza na sina uhakika kama kuna refa kutoka england anaweza kuchezesha kombe la dunia kuanzia hatua ya robo final vinginevyo tusubili tena refa akitoa kadi tatu za njano kwa mchezaji mmoja au itatangulia nyekundu halafu inafuata njano.

    NONDO

    ReplyDelete
  14. Man U,tupo juu vibaya sana......

    ReplyDelete
  15. Hi HATERSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!
    Jamani eeeh! ndio marefa wooooote ligi kuu ya primiya liga ya ukerewe ni wetu ndo maana tumechukua mara tatu mfululizo, na hii ya nne.
    Wanunueni na ninyi mpete, au hamuoni wivu??
    UEFA championi tunaingia final kwa mara ya tatu mfululizo, nako pia marefa wetu..lol!!

    ReplyDelete
  16. nendeni fifa.com mkaone sheria za mpira wa miguu. siyo mnatuletea mambo ya cricket huku.mchezaji beki akimburuza mshambuliaji toka nje ya box mpaka ndani hiyo ni penalt . end off

    ReplyDelete
  17. mbona na nyinyi hambebwi??? mna gundu m... alipoondoka ronaldo mlitukashfu ooh injini yetu imeondoka ati tutashuka daraja sasa huyo ronaldo havumiiii hakuna hata cha bekham sijui becks ROOOONNEEEEYYYYYY mnammezea mate hadi yanawakaba mnaona jinsi babu alivyo na mbinu??? kama vipi amieni manuuu ili msipate kero ya kukonda mtima manu oyeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  18. hawa chealsea nao walikuwa wanajifanya vinara saana kukaa kileleni walika weeee wakachoka tukaja wazee wa vikombe tukafanya kweli arsenal bunduki haina risasi poleni saana mlikuwa mnangojea mkono udondoke kama fisi walau na nyinyi mjidai kabatini kwenu wapppppii ronaldoooooo he he heeeee huvumi lakini umooo unajuuuuuuta kuhama manuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  19. ati u hate man uuuu we luv manuuuu kama ze fulanazzz mwaka wetu huuuuuuuuuuuuuuuuuuuu kabati linazidi kushine

    ReplyDelete
  20. watu wengine bwana? kuliko mmongelee kuhusu simba,yanga au basi miembeni eti mnapoteza muda wenu bure kua kushangilia ligi ya wingereza! hivi tutaendelea lini sisi wa africa? mdau toka bujumbura

    ReplyDelete
  21. simba na yangu kitugani wee,,ukipewa kisamvu na kuku utachagua kula ni ni wewe,,kuangalia ligi ya tanzania ni kama kuchagua kula kisamvu na kuangalia ligi ya uingereza ni kama kuchagua kula mapochopocho..

    ReplyDelete
  22. naichukia Maniuuuuuuuuuuuuuu kama ninavyichukia Simba ya bongo. jamani hiyo maniuuuuuuuuuuuuuu ambayo inamadeni ya kutupwa nayo ni timu ya kujivunia, wakati muda wowowte hata timu itakuwa mnadani kama sio rehani, na wazee wazima wa ARSENAL KAMA SIO cHELSEEEEEEEEEE NDIO TUTAINUNUA. YAANI MNAJIVUNA NA HAYO MABAKULI YA KUBEBWA KILA SIKU, watu tuna hela zetu Arsenal tukitaka kuyanunua hayo mabakuli mnayoita vikombe tunaweza ila tunawaachia msije kujinyonga maana mna frustration za recession.

    hater of Maniuuuuuuuuuuuuuuu Arsenal Fannnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn

    ReplyDelete
  23. watu wengine bwana! nakuambia ya maana unaanza kuleta kuleta eti kisamvu na kuku!tuzi fagilie ligi zetu, achana na hizo ligi za madeni. mdau toka buja

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...