Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei (shoto) na Mkurugenzi wa UNIT TRUST OF TANZANIA - UMOJA FUND (UTT) Dk. Hamis Kibola wakibadilishana mikataba hiyo huku wakishuhudiwa na Balozi mteule huko Afrika Kusini Mh. Radhia Msuya
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya CRDB Dkt.Charles Kimei na Mkurugenzi wa UTT Dkt.Hamis Kibola wakibadilishana mikataba hiyo huku wakishuhudiwa na Balozi mteule huko Afrika Kusini Mh.Bi.Radhia Msuya

Mgeni rasmi, balozi mteule wa Tanzania nchini Afrika ya kusini Mheshimiwa Bi.Radhia Msuya akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Benki ya CRDB na UTT.Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya CRDB Dkt. Charles Kimei na Kushoto ni Mkurugenzi wa mfuko wa UTT Dkt.Hamisi Kibola.Kulia kwa Dkt.Kimei ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa benki hiyo Bi.Nellie Ndosa na Katibu wa Benki hiyo Bw.John Rugambo.Kushoto kwa Dkt.Kibola ni Mkurugenzi wa fedha na utawala wa UTT Bw.Allan Mchaki



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hivi kaka michuzi hebu niulize.
    Zile habari za serikali ya mitaa za oysterbay umezitoa? mbona sizioni tena? nataka soma comments naona ola!

    ReplyDelete
  2. kwani hii shughuli imefanyikia wapi? naona radhia msuya sasa wale wote waliokuwa 'hawakujuwi wanakujuwa'.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...