habari mzee wa libeneke,
naomba hii usiibanie kwani kuibania ni kama kuwabania watanzania wengi wanaotaka nafasi adimu kama hii ya MBA scholarship.
na kwa wengine wengi wanaohitaji taarifa zozote kuhusiana na mambo ya scholarship wanaweza kuingia kwenye hii site.
www.mallaba.ning.com
mimi sio kama yule dada aliewaingiza watu mjini kwa sababu hii ni site tu ya kutoa information zote za scholarship wala sipo kusaidia jinsi ya kuapply,bali kila mtu anaapply wenyewe kulingana na anavyoona nafasi fulani inamhusu au la. hivyo basi mimi ni mtoaji tu information na contact ya vyuo vyote wataviona wenyewe.

Ni mimi mtanzania mzalendo
Dr.Mallaba Raphael
CHINA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ahsante sana Mallaba kwa taarifa hii kweli nimepitia na kuona kuna mambo mazuri sana ya scholarship zote,tunahitaji watu kama ninyi
    mdau

    ReplyDelete
  2. ahsante mdau kwa taarifa hii
    ngoja tuchangamkie dili

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...