Rais wa Chama cha upinzani nchini Uganda cha Forum for Democratic Change (FDC), Kanali Mstaafu Dk. Kizza Besigye, akizungumza na vyombo vya habari, mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano wa wakuu wa vyama vya kidemokrasia vya Afrika, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Kilimanjaro Kempiski jijini Dar leo. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe.

wow freeman hazeeke
ReplyDeleteha ha ha ha ha ha!!!
ReplyDeleteQ1. What is democracy?
Q2. From the list below who is not a dictator?
Q3. Is it true if u mix together the brain of the named below u'll get MASS POVERTY, EPIDEMIC & PANDEMIC DESEASES, SIVIL WAR, HUNGER, UNREST, DEMONSTRATIONS, ... and finally DEATH?
Jose E. DOS SANTOS - Angola
Paul Biya - Cameroon
Francois BOZIZE - Central Africa Republic
Idriss DEBY - Chad
Hosni Mubarak - Egypt
Meles Zenawi - Ethiopia
Yahya A.J.J. JAMMEH - Gambia
Col. Mu'ammar al-Qadhafi - Libya
Field Marshal Umar Hassan al-Bashir - Sudan
Lt. Gen. Yoweri Kaguta MUSEVENI - Uganda
Robert Gabriel MUGABE - Zimbabwe
by DICTATOR
Doctor Kiiza wa FDC
ReplyDeleteDoctor Mbowe wa CHADEMA
samahani nimekosea
Komredi Mbowe wa CHADEMA
ha ha ha ha ha ha!!!
ReplyDeleteanony wa Tarehe Tue Mar 16, 08:19:00 AM,! u had forgoten these predetors will never survive if the blood is stop shelling in africa.
Jose E. DOS SANTOS - Angola
Paul Biya - Cameroon
Francois BOZIZE - Central Africa Republic
Idriss DEBY - Chad
Hosni Mubarak - Egypt
Meles Zenawi - Ethiopia
Yahya A.J.J. JAMMEH - Gambia
Col. Mu'ammar al-Qadhafi - Libya
Field Marshal Umar Hassan al-Bashir - Sudan
Lt. Gen. Yoweri Kaguta MUSEVENI - Uganda
Robert Gabriel MUGABE - Zimbabwe
labda tukichapana kidogo wa TZ tutajua nini maana ya amani..mimi najua kwa undani kabisa niulize kanini....
ReplyDeletemmemsahau na kagame,na yeye ni dikteta vilevile,kila siku anaongeza siku,kuna mdau huku alikuwa anamsifia sana,lakini jana nimeona interview yake ccn,hamna kitu,english mbovu,anajibu utumbo mtupu,hana tofauti na museveni kwa kuwa wamemaliza vita nchini mwao wanaona hakuna kiongozi mwengine atakayeiweza nchi.tz itabaki mfano wa kuigwa kwa africa katika kuachiana madaraka.
ReplyDeleteTanzania ni mfano wa kuigwa.Africa kusini ilijaribu kuonesha mfano dhahiri japo kuwa haina matumaini ya amani.Wa tz si tu kwamba ni waoga wa vita ila ni wenye kumcha mungu au allah, hii ndo chanzo cha amani tz.
ReplyDeleteIs he related to Pinda the PM?
ReplyDelete