Ankal!
Leo ni sherehe ya hepi besdei ya kuzaliwa David Kimasa
aka Kif Mdogo (mwenye chupa ya soda) akiwa nami King Kif kutoka
Hapa ni Msasani Beach tukiburudika na midundo ya Akudo Impact.King Kif nampongeza sana David kwa kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa leo huku akiwa na afya njema japo masuala ya keki hayaonekani pichani!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wewe kweli una akili? mtoto mdogo kama huyo unampeleka Akudo usiku kusherehekea birthday yake?!

    Any way Happy Birthday Baby David.

    Lakini hapo Baba sijui anko sijui nani hunaa kabisaa!!

    ReplyDelete
  2. kingkif nigga haha duh long time msela bado upo kwenye music industry? nakumbuka enzi hizo mwanza ndo hiphop inaibukia..

    ReplyDelete
  3. Jamani mama mtoto yuko wapi? Yaani birthday yake mnampeleka kweli huko usiku agggghhhh...child services wako wapi huko....huku huyo mtoto usingekua naye kesho wangeshamchukua wenyewe wakuonyeshe jinsi ya kutunza mtoto

    ReplyDelete
  4. happy Birthday david. Hongera sana baba kwa kulea na kujihusisha na mtoto sasa mama yuko wapi mambo ya familia kaka! ehe

    ReplyDelete
  5. Hapa ni Msasani Beach.Kila Jumapili huwa kuna Bonanza ambalo ni maalum kwa familia kuanzia saa nane mchana hadi saa moja usiku jioni, sasa mnamlaumu King Kif ni kwa kuwa na mtoto usiku kwa lipi?Kwani Bonanza huwa linafanyika usiku?Kuweni makini na komenti zenu.Inaonekana huwa hamtoki!Sababu kumbe hata ratiba za mitoko hamzifahamu!Hongera David na mwenyezi mungu akupe maisha marefu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...