Home
Unlabelled
hitma maalum kwa wazee waliotangulia mbele ya haki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Leo ndo namwona Salmin. Kushika madaraka ya kuongoza nchi bado kijana taabu yake ukishamaliza muda wake una bado muda mrefu wa kukaa unaangalia wengine wanavyovanya mambooz. Afadhali kuanza tawala una miaka 50 unapostaafu unakuwa mzee wa kushauri
ReplyDeleteNi kweli Dk. salmin Amour haoni?!! au maneno ya watu!!
ReplyDeletedu salmin kumbe anaoona sasa duu
ReplyDeletemungu mkubwa,mheshimiwa muombe sana toba mola wako.
jamani kulikuwa na tetesi kwamba mheshimiwa mstaafu raisi salmin yuko kipofu haoni sasa mbona huyo anaona au ametibika kwa kuwamba waliomtenda radhi.
ReplyDeletendugu ama hakika kifo hakina mjadala maana kila mmoja wetu atakipitia maadamu amezaliwa. cha kusikitisha hapa naona hata dua hizi za MUNGU siasa ingali inapewa kiupa mbele wakati siasa ni uongo mtupu mara nyingi. sababu ya kusema haya sioni wananchi wengine ila vigogo tu je jamani hata MADUA YA MUNGU KUNA MA GROUP. JAMANI TUMUOGOPE MUNGU DUNIA NI YA KUPITA NA NDIYO MTUME MOHAMMAD SAW ALITUAMBIA TUZURU MAKABURI ILI KUKUMBUKA KUWA SISI NI VIUMBE WAKUPITA HIVYO SIYO KUKUMBUKA TU BALI KUTENDA MEMA AMBAYO TUNATAKA KWA WATOTO WETU NA SISI BASI IWE KWA KILA KIUMBE. TUONDOE TAMAA ZA DUNIA KWANI SIYO ZA KUDUMU BALI NI MUDA NA WAKATI WOWOTE TUNAWEZA KUTOWEKA. MUNGU ATUJALIE TUWEZE KUFUATA AMRI ZAKE KWA MATENDO NA SIYO KWA KWA FAIDA YA KIBINAFSI. WASALAMU NDUGU YENU MOHAMMED
ReplyDeleteJamani hata kusafisha kidogo hayo makaburi???!!
ReplyDeleteMdau Tarehe Mon Mar 08, 06:12:00 AM, hakuna siasa hapa. Kwani wamekutana wakaamua waende pale labda baada ya kumaliza shughuli fulani waliyokuwa wanafanya pamoja. Na wewe na wenzio mwawezafanya hivyo hakuna kizuizi. Lakini pia kuna tabia ya watu kutaka kujichulia umaarufu kama yule aliyempiga Mzee wetu kibao bila sababu
ReplyDeletemdau tarehe monday mar 08, 01:3600pm hakika unatoa mpya itakuwaje wote wawe vigogo tu hiyo siasa. naona unashangaza sana picha yote imeonyesha vigogo halafu unasema siyo siasa sina shida ya umaarufu ya kumpiga binadamu mwenzangu kwa kutaka umaarufu huo siyo umaarufu mzuri bali ni mbaya. muhimu mimi na wewe hatujui anayejua ni MUNGU NA WAO NA TUNAOMBA KHERI TUFANYE YALIYO NA KHERI AMEN wasalamu mohammed
ReplyDelete