Ankal pole na shughuli.
Ninayo habari ambayo nimeonelea kuishea na wengine ambayo haijawakuta.
Ni hivi one of ma friend jana kanitumia e mail akiniomba msaada wa paund ka 1260 akidai kakwama in UK hotelini baada ya kuporwa na wa2 hotelini alipokuwa ilihali si kweli mana ni jioni hiyo ya jana tulikuwa tumeachana kutoka kibaruani ni kamjibu is this a jok? this morning so many people cal him and ask him about this.
But leo nashanga kuifungua email address yangu by us ma messenger no mail lakini baada ya kuchek ndani nakuta ninazo 24 msg nani kawaida yangu kucheki na kudelete msg zi czo na umuhimu nikajiuza jawabu sikupata ni ka cool. Jioni hii jamaa angu kanitumia e mail hii?

Na kabla ya hapo kuna e mail moja nliipata hiyo hapo ikidai ni toka Yahoo! Security Alert!! na kuna jamaa yangu mwingine alinical mbona nam2mia email zisizoeleweka? email hizo hapo for reference.

CHA MUHIMU NI JAMAA WOTE KUWA
MAKINI KIPINDI HICHI CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA.

Best Regards,
Boniphace N.K
-----------------------------------------------------------
HI BONIE,
BE CAREFUL, SOMEONE HACKED YOUR EMAIL.
AS OF NOW YOU ARE SENDING
VIETNAMESE MESSAGES.
DO YOU KNOW VIETNAMESE LANGUAGE?

ROGER

Warning!
...
Thu, March 18, 2010 4:41:46 PM
From:Yahoo! Security Alert!!!
...Add to Contacts
To:

Dear Valued Member,


Due to the congestion in all Yahoo users and removal of all unused Yahoo Accounts, Yahoo would be shutting down all unused Accounts,You will have to confirm your E-mail by filling out your Login Info below after clicking the reply botton, or your account will be suspended within 24 hours for security reasons.

User Name: .....................................................
Password: ......................................................
Date of Birth: ..................................................
Occupation:....................................................
Country Or Terriitory: .......................................


After following the instructions in the sheet, your account will not be interrupted and will continue as normal. Thanks for your attention to this request. We apologize for any inconveniences.

Customer Care.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. pumbavu mkubwa wewe, kiingeleza hujui kazi kuchanganya maneno. mpuuzi mkubwa wewe.

    andika kitu cha maana na chenye kueleweka kama huna kaa kimya.

    ReplyDelete
  2. mbona hueleweki?
    au mi kichwa maji?

    ReplyDelete
  3. If you saw your friend the day before why did you decide to reply to that email? Ukome na kiherehere chako.

    And that english my man?! You could do better. I know you want to tell us that you do text a lot but hey! An educated person knows the difference btn those two things...

    Text message shorthand is for texing! Kapish?

    ReplyDelete
  4. Sio kiingereza tu,Kiswahili kibovu kuliko wacongo.Halafu unasema umezaliwa na kukulia town ya Dar es salaam.Rudia darasa la tatu ujifunze kuandika kiswahili.

    ReplyDelete
  5. wewe ndo kanyaboya manake we mwenyewe hata unachosema hakieleweki, anony Frid March 19, 12:12:00 we hata sio kichwa maji ila huyu mwandishi nawasiwasi na elimu yake, yani hamnazo

    ReplyDelete
  6. mjinga wewe. hakuna lugha hata moja unayoijua.

    hata kujieleza ili usaidiwe huwezi. toka hapa.

    ReplyDelete
  7. HUYU JAMAA AMEZAMIA HUKO MTONI SASA ANAJARIBU JARIBU TU WALA SI KOSA LAKE. NAHISI ANAJUA KIHINDI TU

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...