MICHUZI NINI KINAENDELA KUHUSU HII HOTEL YA LIVINGSTONE AU TUMEZOEA KWA JINA LA "MOSHI HOTEL" HAPA MOSHI MJINI KWA KWELI INAHUZUNISHA NA KUTIA KERO
MDAU MOSHI



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Moshi hoteli imelaaniwa na yule mzungu aliyenyang'anywa. Sawaya sijui nani alinunua lakini... Kuna kitu huo mtaa, philip hotel nayo, Olotu sijui anabomoa?

    ReplyDelete
  2. Habari tulizonazo ni kwamba Mzungu aliponyang'anywa na serikali miaka hiyo iliyopita serikali ikaendesha hadi ilipoachana na mambo ya hotel. Ikabinafsishwa mzungu mwenye hotel akaomba akanyimwa. akapewa mzee mwingine imekaa hadi imeona majani. Kanyang'anywa akapewa mzee wa Impala wa Arusha ameanza ujenzi ukawa unaenda kwa kasi ya ajabu. Hamad! tunasikia aliyenyang'wanywa mara ya mwisho huyo mzee wa kitanzania kafungua kesi hotel imefungwa hadi leo... inasikitisha sana

    ReplyDelete
  3. Alinunua Mzee Marialle sio Sawaya alinunua jengo la benki ya nyumba THB sasa panaitwa voda house

    ReplyDelete
  4. Pole wadau wa Moshi kwa nini mzungu alinyang'anywa? Ajira za watu wangapi zimepotea hapo?

    ReplyDelete
  5. Yap! Philip Hotel imeuzwa nadhani aliyenunua atashusha kitu cha nguvu kwani jarani na Philip Hotel kuna kitu kinakwenda hewani kinaitwa Kibo Tower hivyo lazima afanya vitu vya nguvu.

    ReplyDelete
  6. Maajabu ya mzee Rajabu sasa hilo jengo mpaka lianguke ndo mtu atajitokeza na kusimamisha kitu kingineee? sisi waTanzania uswahili mwingi kitu kiitwacho renovation ni mwiko inaelekea hotel ilikuwa bomba kweli laki kwa mtazamo wa sasa!!!! kazi ipo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...