Home
Unlabelled
kero ya mdau wa moshi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Moshi hoteli imelaaniwa na yule mzungu aliyenyang'anywa. Sawaya sijui nani alinunua lakini... Kuna kitu huo mtaa, philip hotel nayo, Olotu sijui anabomoa?
ReplyDeleteHabari tulizonazo ni kwamba Mzungu aliponyang'anywa na serikali miaka hiyo iliyopita serikali ikaendesha hadi ilipoachana na mambo ya hotel. Ikabinafsishwa mzungu mwenye hotel akaomba akanyimwa. akapewa mzee mwingine imekaa hadi imeona majani. Kanyang'anywa akapewa mzee wa Impala wa Arusha ameanza ujenzi ukawa unaenda kwa kasi ya ajabu. Hamad! tunasikia aliyenyang'wanywa mara ya mwisho huyo mzee wa kitanzania kafungua kesi hotel imefungwa hadi leo... inasikitisha sana
ReplyDeleteAlinunua Mzee Marialle sio Sawaya alinunua jengo la benki ya nyumba THB sasa panaitwa voda house
ReplyDeletePole wadau wa Moshi kwa nini mzungu alinyang'anywa? Ajira za watu wangapi zimepotea hapo?
ReplyDeleteYap! Philip Hotel imeuzwa nadhani aliyenunua atashusha kitu cha nguvu kwani jarani na Philip Hotel kuna kitu kinakwenda hewani kinaitwa Kibo Tower hivyo lazima afanya vitu vya nguvu.
ReplyDeleteMaajabu ya mzee Rajabu sasa hilo jengo mpaka lianguke ndo mtu atajitokeza na kusimamisha kitu kingineee? sisi waTanzania uswahili mwingi kitu kiitwacho renovation ni mwiko inaelekea hotel ilikuwa bomba kweli laki kwa mtazamo wa sasa!!!! kazi ipo
ReplyDelete