Msanii nyota toka Burundi anayeishi kwa watani wetu wa jadi (Kenya) atakuwa na shoo moja kabambe kwenye kiota cha maraha cha Club Sun Cirro (zamani Kili Time) barabara ya Shekilango road maeneo ya Ubungo jijini Dar. Tayari KIDUMU keshaonesha nia yake ya kufunga kambi Bongo baada ya kukubalika vyema kwa wadau. Kazi kwenu Ijumaa hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. makaratasi anayo au anafunga kambi kibongobongo tu. No paying tax, no working papers ili mradi watu wamekukubali.

    ReplyDelete
  2. William Gallas look alike.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...