Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel (Katikati) na ujumbe kutoka Serikali ya Korea, wakitia saini Mkataba wa Usimamizi wa taka na uzalishaji wa nishati itokanayo na taka, katika Hotel ya kempinski jiijini leo. Wanaoshuhudia mkataba huo ni Dr. Batilda Burian Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Bw. Joon-Seok Hong, Makamu Waziri wa Mazingira – Korea.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Korea ipi, Kusini au Kaskazini?

    ReplyDelete
  2. Nimeona leo kwa CNN kuna hii kitu iko India ya solar energy .vijijini wanapata umeme wa jua kwa $150 baada ya hapo everything is free.....

    Kwanini tusichangamkie hiyo....Hii ya taka mshikaji naona itakua ngumu sana...labda wanata kufanya majaribio lakini practical haitatusaidia....jua tunalo hiyo itawork right away ...how about that...tell them to think about it....
    Watu tulivyo wengi bongo na wengi wetu hatuna kitu kinaitwa takataka kabisa...chupa ya maji inakua chupa ya kununulia mafuta, kopo likiisha mafuta linakua halitupwi linakua kopo la kuchotea maji, chakula kikibaki jioni ni cha kuku au mbwa...gazeti tunafungia sigara, nguo ikikubana anapea mdogo...within one year the so called "taka" zitaisha halafu sijui tutakwenda kununua takataka kwa wakwe zetu ....mhhhhh

    Nchi kama USA walivyo na takataka lakini hii bado hawajaigusa why ? They know it...in a long run takataka zinaisha....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...