Rais Mstaafu Mh. Benjamin William Mkapa akiteta jambo na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Alex Malasusa wakati wa sherehe za kuwasimika maaskofu wasaidizi wa jimbo la Dar es Salaam zilizofanyika Msimbazi Center jijini Dar.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo akiwasimika Eusebius Nzigilwa na Salutaris Libena kuwa maaskofu wasaidizi wa jimbo la Dar es Salaam wakati wa ibada maalum iliyofanyika katika viwanja vya kanisa la Msimbazi Center jijini Dar.

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo akiwasimika Eusebius Nzigilwa na Salutaris Libena kuwa maaskofu wasaidizi wa jimbo la Dar es Salaam

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo akiwavika pete za Uaskofu wasaidizi Eusebius Nzigilwa na Salutaris Libena katika ibada hiyo maalumu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashama Kardinali Polycarp Pengo akiwavika kofia Eusebius Nzigilwa na Salutaris Libena kuwa maaskofu wasaidizi wa jimbo la Dar es Salaam






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. MITHUPU WA LIBENEKE LA KWIKWI, HIVI NABII MTAKATIFU YOHANA JOHN MASHAKA AKENDA WAPI MKUU, MBONA SIKU HIZI HATUSOMAGI NONDOZZZ ZAKE, AU NDO KAFULIA KIELIMU??

    ReplyDelete
  2. Kilaini kumbe alikuwa kichwa kikali. Kazi itafanywa na maaskofu wawili! du! Huyo nshomile alikuwa mwiba kwelikweli.

    ReplyDelete
  3. Jamani vijana wanazuoni mnaoibukia wa Mlimani na kwingineko mnaweza kutufanyia utafiti wa kina juu ya uhusiano wa kanisa na serikali katika zama hizi za ufisadi. Wakuu wa makanisa wamekuwa mstari wa mbele kukemea ufisadi. Vigogo vya serikali ambavyo vinatuhumiwa kujihusisha na ufisadi navyo vimekuwa vikionekana meza kuu katika shugghuli za makanisa. Kuna doti zinahitaji kuunganishwa hapo.

    ReplyDelete
  4. My favorite politician.... His excellent Benjamin William Mkapa. Despite a lot of criticisms, he made education valuable, did a landmark contribution in building the economic foundation... flowrished the business... and many more. After all, he is not an angel to be perfect!!! He did his best for us. I appreciate.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...