ilivamiwa na majambazi masaa machache yaliyopita
watu wenye silaha wamevamia Casino mjini hapa na kupora vitu na mapesa kibao. Hii inaonesha sio bongo tu mambo tambarale, hata ughaibuni yako pia.
sio tukio hili tu pia kulitokea tukio moja kubwa mjini hapa wazee wa shoka walipokwenda kuiba mamilioni ya Swedesh Klonor kwa kutumia helkoptazz walitua juu ya ghorofa na kuingia ndani huku wakiwaacha walinzi wa watu na mali zao wakiwasubiri washuke chini.
Gazeti moja liliwahi kuandika maji ya mbaazi hao waliwatishia pale kwenye mlango mkubwa wa kuingilia kwenye jumba hilo la kampuni kuwa kuna bomu na wao wakahofia masiha yao hali sio kweli waliondoka na mingawila hiyo na kuitelekeza helkoptazz porini na kuwaacha wazungu wakipata kizungu zungu cha sintofahamu ilikuwaje
Chanzo
MKUU KWELI UKO FASTAZZ
ReplyDeleteSAFI SANA
Mdau wa Iceland
MAJI YA MBAAZI HAYO! heh heh sina mbavu kwa kweli.
ReplyDeleteMdau
Visiwani Fiji
Ahsante kwa info mzee.. Imetoka fresh na fasta...!!
ReplyDeleteHuu ndio uhuru wa habari ahsante mkuu tumeiyona hiyo tena.wale wanaofikili tambarale ni bongo tuu sasa ndio mda wa kukuna vichwa
ReplyDeleteKuna mbongo mmoja alikuwa nafanya kazi jikoni hapo sijuwi kama bado anendelea nayo hiyo kazi (P,c)
ReplyDeleteMDAU WA Mon Mar 08, 01:27:00 PM KWENYE LILE CASINO HAKUUZWI CHAKULA NI MUZIKI UKU TOTOZI ZA KIZUNGU ZIKI´JICHIA SIVYO NDIVYO,KINYWAJI NA KAMALI MARA CHACHE KUNAKUWA NA SHEREHEKAMA NA UNATAKIWA KUJA CHAKULA CHAKO SASA HUYO MBONGO ALIE JIKONI KATOKEA WAPI
ReplyDeleteMdau anaepiga mzigo pembenina hiyo Cassino,,Bu King