Casino Cosmopol Stokholm, Sweden, ambayo
ilivamiwa na majambazi masaa machache yaliyopita
watu wenye silaha wamevamia Casino mjini hapa na kupora vitu na mapesa kibao. Hii inaonesha sio bongo tu mambo tambarale, hata ughaibuni yako pia.

sio tukio hili tu pia kulitokea tukio moja kubwa mjini hapa wazee wa shoka walipokwenda kuiba mamilioni ya Swedesh Klonor kwa kutumia helkoptazz walitua juu ya ghorofa na kuingia ndani huku wakiwaacha walinzi wa watu na mali zao wakiwasubiri washuke chini.

Gazeti moja liliwahi kuandika maji ya mbaazi hao waliwatishia pale kwenye mlango mkubwa wa kuingilia kwenye jumba hilo la kampuni kuwa kuna bomu na wao wakahofia masiha yao hali sio kweli waliondoka na mingawila hiyo na kuitelekeza helkoptazz porini na kuwaacha wazungu wakipata kizungu zungu cha sintofahamu ilikuwaje
Casino Cosmopol kwa mbele, shoto askari wakiwa katika uchunguzi
Chanzo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. MKUU KWELI UKO FASTAZZ
    SAFI SANA
    Mdau wa Iceland

    ReplyDelete
  2. MAJI YA MBAAZI HAYO! heh heh sina mbavu kwa kweli.

    Mdau
    Visiwani Fiji

    ReplyDelete
  3. Ahsante kwa info mzee.. Imetoka fresh na fasta...!!

    ReplyDelete
  4. Nagal WashngtonMarch 08, 2010

    Huu ndio uhuru wa habari ahsante mkuu tumeiyona hiyo tena.wale wanaofikili tambarale ni bongo tuu sasa ndio mda wa kukuna vichwa

    ReplyDelete
  5. Kuna mbongo mmoja alikuwa nafanya kazi jikoni hapo sijuwi kama bado anendelea nayo hiyo kazi (P,c)

    ReplyDelete
  6. MDAU WA Mon Mar 08, 01:27:00 PM KWENYE LILE CASINO HAKUUZWI CHAKULA NI MUZIKI UKU TOTOZI ZA KIZUNGU ZIKI´JICHIA SIVYO NDIVYO,KINYWAJI NA KAMALI MARA CHACHE KUNAKUWA NA SHEREHEKAMA NA UNATAKIWA KUJA CHAKULA CHAKO SASA HUYO MBONGO ALIE JIKONI KATOKEA WAPI
    Mdau anaepiga mzigo pembenina hiyo Cassino,,Bu King

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...