Home
Unlabelled
Mh. Sumaye ataka kushitaki gazeti la Changamoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (T.H.T) Bw. Ruge Mutahaba amemtaka Mkurugenzi wa Deiwaka Production Bw. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II a.k.a Sugu amwombe msamaha dhidi ya tuhuma zilizotolewa juu yake kuhusiana na kampeni ya Malaria No More.
ReplyDeleteAkizungumza na waandishi wa habari mapema leo mchana Mikocheni jijini Dar,Ruge Mutahaba amesema kuwa amempa Mr II masaa 72 ili aweze kumuomba msamaha/radhi dhidi ya shutuma ambazo amezisambaza dhidi yake kuhusiana na sakata hilo la Malaria No More
"Kiukweli nimeamua kuwaita waandishi wa habari ili niweke sawa haya mambo, mimi nilipewa tenda na kampuni ya Roundtrip kusimamia upande wa wasanii, jukwaa pamoja na`kusimamia mambo mengine hilo ndiyo lilikuwa jukumu langu mimi kama mimi,haya mambo mengine yanazungumzwa juu yangu sijui yanatoka wapi,hivyo namuomba Mr II aniombe radhi/msamaha kwa vyombo vile vile vya habari alivyovitumia kunidhalilisha mimi na kunivunjia uaminifu kwa jamii ninayoiongoza"alisema Ruge Mutahaba.
In the wake of British Aerospace Engineering System’s agreement recently to pay $400million(Sh540billion) in fines after admitting that its arms deals, including the controversial radar sold to Tanzania, the UK based company has confirmed that the compensation billions won’t be paid to the government’s coffer.
ReplyDeleteIn an email sent to this paper on Saturday, BAE confirmed that the $47million which is a penalty for over-pricing the radar price won’t be paid to the government as claimed earlier, insisting that the billions would be given to local charities dealing with humanitarian aid.
The BAE’s confirmation ends high hopes that Tanzania would finally get its stolen billions which, were swindled by the radar brokers, some government officials as well as BAE officers during the controversial deal.
“We have decided that the fine for accounting error for Tanzania radar will be paid to selected charities not the government.” Read part of the email sent to The Guardian on Sunday yesterday.
In January the British arms firm accepted guilt and agreed to pay penalties in the US and the UK totalling several hundred million dollars to settle the long-running corruption allegations against it. Under the deal, announced simultaneously in London and Washington, BAE will pay $400m (£255) in the US and $47m (£30m) in the UK. In its comprehensive investigation, UK’s Serious Fraud Office named Andrew Chenge, Sailesh Vithlani, Tanil Somaiya, and Dr Idris Rashidi as the key suspects linked to suspicious payments amounting to $12million doled out by the BAE System broker in Dar es Salaam.
The deal with the SFO in the UK covers one arms contract only, under which overpriced military radar was sold to Tanzania. The SFO said some of the cash would become "an ex gratia payment for the benefit of the people of Tanzania".
According to details from the SFO’s investigation, the actual price of the military radar sold to Tanzania at that time was $12million, but Tanzania paid about $40million with the extra $28million going into the pockets of those involved, both government officials and private individuals.
Under the new deal between the SFO and BAE System announced on Friday, Tanzania may get a refund of $28 million (Sh37.8 billion)—an amount that could pay for 9,500 students to pursue their undergraduate studies for two years or provide 7.4 million families with treated mosquito nets at a cost of Sh5,000 per net.
In 2006, the UK investigators established that BAE System had secretly paid a $12m commission into the Swiss bank account of Sailesh Vithlani in a deal that led to Tanzania, one of the world's poorest countries, buying a military radar system with only nominal justification.
The back-door payment to the Tanzanian middleman represented 30 percent of the contract value. Tanzania had to borrow to finance the deal, which critics said was unnecessary and overpriced.
Recently, Minister for Foreign Affairs Benard Membe, insisted that the $47 million compensation should be paid to the government’s coffer and not otherwise, but the BAE’s stance confirmed yesterday is expected to create another conflict between Dar es Salaam and London.
It’s not clear why BAE is not willing to pay $47million directly to the government of Tanzania.
However, some legal analysts believe that BAE has chosen that path to avoid any legal implications that may arise if Tanzania finally chose to arrest and prosecute the key radar suspects.
SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
Wagombea wahaha kutafuta uungwaji mkono
ReplyDeleteMikusanyiko ya misiba, kidini, sherehe vyawa lulu
Viti maalum nako hapatoshi...ni mchakamchaka
Sasa hakulaliki, majimboni kunawaka moto. Hivi ndivyo unavyoweza kusema katika kipindi hiki cha lala salama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Hali ya wasiwasi kwa baadhi ya wabunge kurudi tena bungeni inazidi kuwa juu, huku wagombea wapya wakionekana kuwa na kiherehere cha kutaka nafasi hiyo ya uwakilishi.
Mikusanyiko mbalimbali kama vile misiba, kidini, sherehe na ya kijamii, sasa imekuwa fursa adhimu kwa wagombea kujinadi na kutafuta ushawishi wa kuungwa mkono.
Nguvu kubwa za kifedha na mikakati ya kisiasa, nayo imekuwa karata nyingine inayotumiwa kutafuta ushawishi kuungwa mkono.
Ushindani mkubwa hauonekani tu katika nafasi za majimbo, bali kwa upande wa ubunge wa viti maalum nako kumekucha.
Wanawake wa Chama cha Mapunduzi (CCM) wanaotaka kuwania ubunge, wanadaiwa 'kukabana' koo kutafuta ushawishi kwa wajumbe watakao wapigia kura, huku wale wa vyama vya upinzani hasa vyama vya Chadema na CUF nao wakitoana jasho kutafuta kupenya kwenye nafasi hizo.
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe Jumapili, umebaini kwamba kwenye majimbo harakati za wabunge wanaotaka kutetea nafasi zao na wale wanaotaka kuwaondoa kwenye nafasi hizo zinazidi kuongezeka kiasi kwamba hisia za uadui na kutazamana kwa jicho la husuda zimeenza kujichomoza mapema.
Uchunguzi zaidi wa gazeti hili umebaini kuwa mawaziri na manaibu mawaziri, wengi wao wapo roho juu, kutokana na kuhofia kukosa ubunge ambao ndiyo tiketi kubwa ya kukwaa uwaziri.
Hii inatokana na kujitokeza kwa sura nyingi mpya kwenye majimbo yao, ambao wanaonekana kuwa na mvuto.
Mawaziri wengi wanajikuta katika wakati mgumu kipindi hiki cha karibu na uchaguzi, kutokana na nyadhifa za kiserikali wanazoshikilia kuwaweka ‘bize’ kiasi cha kukosa muda wa kutosha kuwa karibu na majimbo yao, lakini sasa wanalazimika kurudi kwa wananchi kuomba kuchaguliwa tena.
Lakini kazi kubwa ipo kwa mawaziri na manaibu ambao walizipata nafasi hizo kutokana na ubunge wa viti maalum. Hawa huenda baadhi yao wasirudi bungeni kutokana na nafasi za ubunge wa kuteuliwa kuwa na ushindani mkubwa zaidi safari hii.
Lakini baadhi yao wamesoma alama za nyakati, wameamua kujitosa kwenye majimbo kujaribu bahati yao baada ya kujiaminisha na kujiridhisha kuwa wanaweza kuhimili ushindani kwenye nafasi hizo za kuchaguliwa.
Hali hiyo inaelezwa italeta ushindani wa aina yake kwenye majimbo na dalili zimeshanza kujionesha kuwa kutakuwa na ushindani utakaoleta mvuto wa aina yake kwenye uchaguzi wa safari hii.
Jijini Dar es Salaam nako mambo si swari. Homa ya uchaguzi hasa kwenye nafasi ya ubunge inazidi kupanda kwa kiwango cha juu siku hadi siku.
Homa hiyo imezidi kupanda hivi karibuni, baada ya Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe, kutangaza uwezekano wa kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni huku Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia akitarajiwa kugombea Jimbo la Kawe.
Mbali na jimbo hilo Zitto amesema pia wananchi wa majimbo ya Geita, Kahama, Kigoma Mjini na Kigoma Kaskazini wote wanamhitaji ili awawakilishe.
Hata hivyo, Zitto ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema alisema hadi sasa bado hajafanya uamuzi rasmi wa jimbo gani kati ya hayo atakwenda kugombea.
Habari za Zitto kugombea Kinondoni ambako Iddi Azan wa CCM ndiye mbunge zimesababisha mshtuko kwa CCM wilayani humo na katika kuthibitisha hilo, hivi karibuni Umoja wa Vijana wa chama hicho wilayani humo, ulimuonya mbunge huyo kutojaribu kufanya hivyo kwani ataambulia patupu.
Naye Mbatia alisema uamuzi wa kugombea katika Jimbo la Kawe unatokana na msingi wa kikatiba na haki ya kila Mtanzania ya kuchagua na kuchaguliwa katika chaguzi zozote.
Kwa sasa Jimbo la Kawe linashikiliwa na mbunge wa CCM, Rita Mlaki. Hata hivyo, mbunge wa Viti Maalumu Chadema, Halima Mdee naye alikwisha tangaza kwamba katika uchaguzi wa mwaka huu anawania jimbo hilo.
Mhhhhh! nahisi blog ya jamii imevamiwa.Haya izi long essay zina blog zake, hapa si tunataka pic na short short bila kusahau fun comments
ReplyDeleteMheshimiwa Sumaye,
ReplyDeleteGombea uraisi, sisi tutatkuwa nyuma yako sambamba. Kwanza una degree ya kutoka Harvard!
Are these comments really placed in the proper place
ReplyDeleteKaka Michuzi Pole na majukumu ya kila siku. huwa nafuatilia habari zote kwa blog yako.. wiki iliyopita kuna watu walikuwa na malalamiko kuwa unapendelea upande fulani, wengine wakasema kuwa unawabania comments zao.. kama kweli unazibana basi kutakuwa na sababu muhimu ila sio upendeleo, kuna mtu ameandika hutuba kwa comments.. ameelezea siasa sana zaini ya kutoa comments inayohusika na habari. sasa Kina mambo ya Zitto yanatoka wapi tena huku.. kaka kweli ukiibana hiyo comments ya huyo bwana atalalamika sana kuwa unambania lakini sio mahali pake..mi nakushauri tu wewe fanya unachoona ni bora usijali mtu.angalia je comment ina fit mahali hapa.. ukiruhusu hivi na kusema kila mtu ana haki ya kuongea chochote usishangae nikatoa comment ya kusifia mtoto wangu hapa..yes si nina haki ya kutoa mawazo yangu..powa kaka mida.. Mdau Ughaibuni
ReplyDeleteMLANGO WA NYUMA! JUKWAA LA WAHARIRI MNAKUBALI KUHONGWA! KWANINI PESA HIZO ANAZITOA SASA WAKATI UCHAGUZI UNAKARIBIA. ALIPOKUWA WAZIRI MKUU HAKUONA UMUHIMU WA HAYO MAFUNZO? HATA HIVYO SISHANGAI SANA KWANI WAANDISHI WA HABARI WA TANZANIA HUWA MNAZICHANGAMKIA SANA BAHASHA BILA YA KUJIULIZA KWANZA.
ReplyDelete