mkurugenzi wa kampuni ya Basix ambao ni wasambazaji wa vifaa vya technolojia ya kisasa ya usalama na ulinzi Bwana Amani T. Moria akizungumza katika kilele cha michuano ya golfu ya TPC Open iliyofanyika TPC moshi mwishoni mwa wiki. kushoto ni mwenyekiti wa chama cha golfu nchini bwana Dioniz Malinzi na kulia ni meneja mkuu wa TPC bwana Baisac.
mwenyekiti wa cha chama cha gofu nchini bwana Dioniz Malinzi akikabidhi vikombe na tv kwa mshindi wa kwanza wa TPC open bwana Collins Omondi toka Kenya iliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Moshi na kudhaminiwa na kampuni ya vifaa vya usalama na ulinzi ya Basix Group mkurugenzi wa kampuni ya vifaa vya ulinzi na usalama ya Basix bwana Amani T. Moria (kushoto)akimkabidhi kikombe mshindi wa wa pili wa jumla wa TPC open bwana Sulivan Muthugia kutoka Kenya katika kilele cha TPC open iliyofanyika mjini moshi mwishoni mwa wiki
mwenyekiti wa chama cha golfu nchini bwana Dioniz Malinzi akijiweka tayari kupiga mpira wakati wa uzinduzi wa michuano ya wazi ya Kiwanda cha Sukari Cha TPC (TPC open golf championship) yaliyofanyika TPC mjini Moshi mwishoni mwa wik kwa udhamini wa kampuni ya Basix. Picha na mdau Madanga Shaaban Madanga wa Media Solutions




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Umefika wakati zawadi nazo ziwe zinaenda na wakati maana, hii TV ni old skul! Au ndio wanamalizia stock, Basix wakakuta sale wakaona waibebe?
    Hiyo TV imetupwa mkono na teknolojia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...