Wanafunzi wa shule za sekondari wanaoshiriki michuano ya UMISSETA wakichuana katika mbio za mita 400 za kusaka wanariadha watakaoiwakilisha Wilaya ya Kinondoni katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. lol!! basi full ma-happy, those are nice lcds tho...

    ReplyDelete
  2. Nchi yetu Zero kweli Lazima kuwaandikisha watoto shule majina wataotaka kujishirikisha alafu Mnaandika majina yao na size za unifomu na viatu pesa zipo mnakula tu wapeni wakimbilie sasa hivyo peku ndio nini wanakuja nanguo zao mnawachokesha tu. Ingekuwa Miss Tanzania hapo mshataarisha kila kitu nguo wapi pakulala hawalipi hata kitu. Mzee Machungu.

    ReplyDelete
  3. Naam! Wanamichezo hupatikana kuanzia hapa. Huyo mwenye bluu anayekimbia peku anaonyesha form nzuri ya kukimbia. Akipata mafunzo anaweza akatisha.

    ReplyDelete
  4. 21st century na bado tunakimbia peku! lol

    ReplyDelete
  5. jamani viatu vipi?

    ReplyDelete
  6. wanafunzi wa secondary wanakimbia peku inabidi nishangae ingekuwa primary kidogo ningeelewa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...